Series (Special thread)

AlP0L0

AlP0L0

JF-Expert Member
Joined
Apr 23, 2011
Messages
4,781
Points
2,000
AlP0L0

AlP0L0

JF-Expert Member
Joined Apr 23, 2011
4,781 2,000
Hivi breaking bad utamu wake unaanzia wapi mkuu... Niko season ya pili ila nashindwa
Mkuu komaa nayo hautajuta. Mimi mwenyewe niliacha njiani mara mbili, nilipoianza mara yatatu nukakomaa nayo. Hiyo kwangu ni namba mbili, namba moja ni Money Heist.
 
Aldonae

Aldonae

JF-Expert Member
Joined
Jan 4, 2015
Messages
525
Points
500
Aldonae

Aldonae

JF-Expert Member
Joined Jan 4, 2015
525 500
Hivi ni mimi tuu niliyechoka hizi series za ma-cia,fbi,security service sijui homeland????Zimekuwa kama za kikorea sasa,lazima awepo mfalme,mwanamfalme n.k.

Series iwe na upekee fulan hivi,hauichoki!Kama hizi hapa
Westword
Godless
Handmaid's Tail
Hell on wheels
 
George Betram

George Betram

JF-Expert Member
Joined
Oct 10, 2015
Messages
2,848
Points
2,000
George Betram

George Betram

JF-Expert Member
Joined Oct 10, 2015
2,848 2,000
Hivi breaking bad utamu wake unaanzia wapi mkuu... Niko season ya pili ila nashindwa
Achana na Breaking Bad mkuu...
Tafuta series nyingine ya kuangalia...
Yaani Breaking Bad hii ninayoijua mimi ukifika season ya pili tu ujue hauiachi mpaka inaisha..!
 
E

eliahadi

New Member
Joined
Jun 28, 2019
Messages
3
Points
45
E

eliahadi

New Member
Joined Jun 28, 2019
3 45
Achana na Breaking Bad mkuu...
Tafuta series nyingine ya kuangalia...
Yaani Breaking Bad hii ninayoijua mimi ukifika season ya pili tu ujue hauiachi mpaka inaisha..!
Sasa hiyo breaking bad naipataj mkuu,,kama lugha inayotumika
 
Econometrician

Econometrician

JF-Expert Member
Joined
Oct 25, 2013
Messages
9,893
Points
2,000
Econometrician

Econometrician

JF-Expert Member
Joined Oct 25, 2013
9,893 2,000
Hivi ni mimi tuu niliyechoka hizi series za ma-cia,fbi,security service sijui homeland????Zimekuwa kama za kikorea sasa,lazima awepo mfalme,mwanamfalme n.k.

Series iwe na upekee fulan hivi,hauichoki!Kama hizi hapa
Westword
Godless
Handmaid's Tail
Hell on wheels
Westword na Handmaid kila nikiziangalia huwa sizielewi
 
Leonard Robert

Leonard Robert

JF-Expert Member
Joined
Apr 22, 2011
Messages
9,676
Points
2,000
Leonard Robert

Leonard Robert

JF-Expert Member
Joined Apr 22, 2011
9,676 2,000
Hivi ni mimi tuu niliyechoka hizi series za ma-cia,fbi,security service sijui homeland????Zimekuwa kama za kikorea sasa,lazima awepo mfalme,mwanamfalme n.k.

Series iwe na upekee fulan hivi,hauichoki!Kama hizi hapa
Westword
Godless
Handmaid's Tail
Hell on wheels
Hii Westworld inahusu nini mkuu?
 
Forum statistics

Threads 1,325,739
Members 509,278
Posts 32,201,497
Top