Series (Special thread)

Soon mzigo unashuka huu
Screenshot_20190724-165620_IMDb.jpeg
 
Mpaka sasa naangalia money heist na nipo episode ya 6 season 1. Sijaoma uzuri wake kama inavosifiwa. Sijui uko mbeleni vipi
Ndo hivyo mkuu kila mtu anapenda kitu kulingana na vigezo vyake kuna watu wanamwona demu fulani mkali balaa lakin kuna wengine wanamwona mavi tu the same kwenye hivi vitu vya kawaida mm ist naona na kagari kazuri sana wengne wataiponda
 
Mision yake ndefu mkuu. Series ni matokeo ya kipindi fulani. Lakini hiyo season mbili zote inaonesha zimeenda siku 3 tu
 
Kuna mtu alitoa humu series moja inaitwa HOME LAND, danh huu mzigo ni hatari kwa ambao hamjaucheki ni bonge moja la picha full intellegence nimeitafuta nimeipata now nipo season ya 4 episode 7 nadhani zipo season 7,, bonge moja la picha hutojutia muda wako.

Kuna nyingine nayo inaitwa BILLIONS nimeicheki trailer yake you tube inaonekana ni tamu sana bahati mbaya kwa index kule google sijaikuta.

Mwisho niombe msaada jinsi ya kui download money heist season three , hd video kwa kutumia simu, msaad tafadhali maana kwa index google ipo season one na two peke yake.
 
Ingia 0²tv series utaikuta yote
 
Hiyo Billions utaielewa kama ukiwa mtu wa Accountant,,,iko poa sana
 
Niko naiangalia series ya Breaking Bad...
Now nimefika season ya 5,Walter White amenogewa na uhalifu...
Breaking Bad imeingia moja kwa moja katika top 5 ya series kali ambazo nimewahi kuzitazama...
Series nitakayoifuatilia baada ya hii ni LOST,I hope sitakuwa disappointed..!
Asante.. breaking bad Ni Moto..pia Lost ki moto vilevile..
 
nilishindwa kuangalia homeland season 2
Kuna mtu alitoa humu series moja inaitwa HOME LAND, danh huu mzigo ni hatari kwa ambao hamjaucheki ni bonge moja la picha full intellegence nimeitafuta nimeipata now nipo season ya 4 episode 7 nadhani zipo season 7,, bonge moja la picha hutojutia muda wako.

Kuna nyingine nayo inaitwa BILLIONS nimeicheki trailer yake you tube inaonekana ni tamu sana bahati mbaya kwa index kule google sijaikuta.

Mwisho niombe msaada jinsi ya kui download money heist season three , hd video kwa kutumia simu, msaad tafadhali maana kwa index google ipo season one na two peke yake.
 
I see breaking bad.. inaanza kitoto.. lakini ikifika season 2 utakubali kwamba kwanini inasifika
Ngoja nianze kuiangalia Nina season 1 ila baada ya episode chache nikaipotezea. Naiangalia nikilenga kuenjoy hiyo season2 sasa ikiwa kinyume lawama zangu nakupa wewe
 
Dah season ya kwanza ilinishinda.. Ngoja niirudie
Niko naiangalia series ya Breaking Bad...
Now nimefika season ya 5,Walter White amenogewa na uhalifu...
Breaking Bad imeingia moja kwa moja katika top 5 ya series kali ambazo nimewahi kuzitazama...
Series nitakayoifuatilia baada ya hii ni LOST,I hope sitakuwa disappointed..!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom