Series (Special thread)

Series (Special thread)

Hata mimi kiongozi,najionea chengax2 na matukio yalikosa msisimko...nakaribia kuacha kuitazama.
Yeah yaani sio kama mbaya lakini haina uzuri wa inavosifiwa. Saa 6 usiku hii mimi naangalia hapa nipo s01e11. Kwanza matokeo yako slow sana. Yaani season nzima ni siku mbili tu. Kimision chenyewe ni kidogo lakini wanakipublish
 
Mpaka sasa naangalia money heist na nipo episode ya 6 season 1. Sijaoma uzuri wake kama inavosifiwa. Sijui uko mbeleni vipi
Dah Kweli kila mtu na flavour yake, yani Mm inaanza tu nikaikubali mpk kesho nitaikubali..
 
Hii SiTe Iko PoaH Sana.......Nimeikubali sana..
Asante sana sana. Mzigo nimeushusha fasta sana upo kwa Pc leo jioni unaanza kazi.

Pia asante site yako nimeipenda nimepata vitu vingine vya ziada especially the 100 season two ambayo ipo na seed nyingi

Huu ndio ubaharia
 
aise wapenda comedy series tafuta "catch 22" ni ya mwaka huu.bonge la series...hutojutia bando lako
 
pamoj mkuu
Asante sana sana. Mzigo nimeushusha fasta sana upo kwa Pc leo jioni unaanza kazi.

Pia asante site yako nimeipenda nimepata vitu vingine vya ziada especially the 100 season two ambayo ipo na seed nyingi

Huu ndio ubaharia
 
Animal Kingdom ifatilieni hii,,ipo vizuri sana,,hadi sasa wameshafika season 4,,,
 
Nairobi ni kichaa.

Money Heist s3
IMG_20190723_191033_1.jpeg
IMG_20190723_191037_6.jpeg
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom