Series (Special thread)

ningendako

ningendako

JF-Expert Member
Joined
Dec 1, 2017
Messages
16,247
Points
2,000
ningendako

ningendako

JF-Expert Member
Joined Dec 1, 2017
16,247 2,000
Designated Survivor tayari mzigo wote uko kwa hewa
Hii imeniboa sana,imejaa ushoga wa wazi wazi kabsa,naanza kuamini kuwa series nyingi zinazokuwa cancelled ni zile zisizokuwa na mambo haya kishenzi,,hii toka huko nyuma sikuona mambo haya,,leo hii Season 3 wanatuletea ushoga,ikumbukwe tu hii kabla ya Netflix kuichukua,tayali ilisemekana imekuwa banned,,Netflix wamekuja na season 3 kwa mashart ya ushoga kuwepo,,kwangu mimi imeniboa sana!!!
Hata isipopata nafasi ya kuendelea na season 4 poa tu!!
 
S

samram1

Member
Joined
Oct 2, 2017
Messages
48
Points
95
S

samram1

Member
Joined Oct 2, 2017
48 95
Huna taste nzuri ya series
Brave ni kama strike back.Sema hawa machalii wa brave wanajifanya wajuaji sana.kinachoboa wote watano hakuna hata mmoja anajeruiwa wala kutekwa wala kufa,Uwongo mwingi episode 4 nimeishindwa nimeibwaga,Jack rayn(sina hakika na spelling)Ni kali ila mwisho wamezingua mousa bin suleiman kafa kizembe sana.Empire inazingua ugomvi wa familia kila siku.List yang ya kumi bora ni
1:Viking
2:Game of thrones
3:Original
4:power
5:spartacus
6:Breaking bad
7:vampire diary
8:The 100 (nilipenda season ya 1tu)
9:under the doom
10:v
Bonus:Queen of south


Hizi sikuzipenda na nyingi sikuzimaliza
Witch of the east
Legend of seeker
melin
Lost
Walking dead
Gotham
Lacasa na narcos(lugha tatizo nilikosa sub title)
Last ship (mbelen ya kawaida)
Teen wolf
Person of interest
Bad land
Blind spot
West world (nimeishindwa episode ya kwanza)
Supernatural
Dracula
Beauty and the beast

Zingine sikumbuki ila nimeangalia nyingi sana za zamani kidogo.

View attachment 1108533
 
S

samram1

Member
Joined
Oct 2, 2017
Messages
48
Points
95
S

samram1

Member
Joined Oct 2, 2017
48 95
Wewe sasa ndo unajua. Chukua breaking bad, hutajutia.
My best series za muda wote mpaka sasa
Prison break
Game of throne
Into the badland
Money heist
Viking
Banshee
Power
Queen of south
Jumong
Iris...,....nataka niangalie breaking bad sijuii kma nitaipenda sijawahii kuiona na homeland hiyo ndo list yangu wadau kama nilivyoipanga na hata kwa rank na amini ni mmoja kati za tv show bora kabisa za muda wote
 

Forum statistics

Threads 1,343,069
Members 514,915
Posts 32,772,686
Top