Series (Special thread)

Mzigoo huoo hatari kitu cha season 3View attachment 1157987
Screenshot%20(240).jpeg
 
bonge la series, shusha huo mzigo hutojutia bando lako.
Kwanini kila mtu aliyefanikiwa kuiangalia hii series ya Breaking Bad huwa anaishia kuiweka katika tatu bora ya series Kali alizowahi kuziangalia?
Ngoja nianze kuitafuta hii series,maana sio bure.
 

Similar Discussions

67 Reactions
Reply
Back
Top Bottom