Series (Special thread)

Series (Special thread)

City on a Hill ,,,,tayali wametoa kiepisode kimoja,,imeanza vizuri sana
 
IMG_2987.JPG


KWA SASA SINA SERIES NAYOIFUATILIA
NASUBIRI MONEY HEIST SEASON 3
Next month
Hii kitu ni Hatari Sanaa
 
Aiseeh kama kuna mtu hajaangalia LOST ..ni series flani ya zamani kama mwaka 2004 aitafute...ni kali sana nilikua naichukulia poa..lkn baada ya kuiona hadi season ya 5 imeingia kwenye top 10 zangu za series kali
 
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] ushanikata maini, na mm star akiwa demu basi sijui ni nini [emoji3][emoji3]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]...... asee kumbe tupo wengi wenye hii kasumba...... m stimu hua znakata kabsa....
 
Wakuu nahitaji series ya prison break .web gan au app gani naweza ipata full
 
Hii ni app gan mkuu

NETFLIX MKUU
ukiingia huko jiandae kulipa 27k kila mwisho ww mwezi
Bt the good thing ni kwamba mnaweza ku join hadi users watano..
Kama wato mpo karibu mnachanga 5k each
Unajikuta mwisho wa mwezi unalipa 5k
Kuliko 27 peke ako
Done [emoji736]
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom