Series (Special thread)

myplusbee

JF-Expert Member
Joined
Jul 8, 2016
Messages
3,221
Points
2,000

myplusbee

JF-Expert Member
Joined Jul 8, 2016
3,221 2,000
The Americans niliiangalia mpk nikajihisi nipo ndani ya movie yenyewe. Phillip and Elizabeth were super genious!

Halafu in real life walikuja kuoana!
Yah! Upo sahihi kabisa! Yaani nitai-miss sana The Americans! Sema walivyotupiga chenga kwenye season finale; kila mmoja akabaki hoi manake kila mtu alitarajia The Jennings wangekuwa arrested! Na ndio maana napata imani kwamba itarejea tu!!
 
Jay Gatsby

JF-Expert Member
Joined
Jul 28, 2017
Messages
693
Points
1,000

Jay Gatsby

JF-Expert Member
Joined Jul 28, 2017
693 1,000
Naona hbo wakombioni kuandaa prequelbya GOT
Huenda ikaitwa The long Night
Yeah nimesikia kuhusu hyo ishu sema yenyewe kwa maelezo ya George rr Martin setting yake itakuwa ni 1000 years before the events of the original GoT na itakuwa ni sehemu nyingine so hakuta kuwa na zile houses kama Targaryens etc
 
bardizbah

JF-Expert Member
Joined
Jan 11, 2017
Messages
1,717
Points
2,000

bardizbah

JF-Expert Member
Joined Jan 11, 2017
1,717 2,000
Kuna mapanga mapanga na mambo ya kupaa hewani??
Maana series za uongo za hivyo huwa sizikubali..
Kama hutojali naomba intro kidogo.
Hamna hizo mkuu humu kuna issue za mahesabu sana yaan ishu za kupambana na magaid waliokuwa wanaipiga china afuu sasa kuna gaid mkubwa sana alifanya mahesabu na kutengeneza code inaitwa purple code kwa lengo la kuwa wanaficha mawasiliano yao yasigundilike mwisho wa siku anapatikana dogo akili zake haziko timamu anapewa hiyo kazi na mwanajeshi mkubwa sana kwa lengo la kuisolve hiyo hesabu(decode) dogo ni genius atatumia muda mrefu sana mpk aje aisolve hiyo code maana wengine walikuwa wakisolve wanakuwa vichaa jinsi ilivyo kuwa na fumbo

Kingine action za mitutu na kupigana kis cha mapenzi vyote viko humu mkuu kaangalie hii ikikuboa bas jua your not born kuja kufurahia maisha ya movie nenda kafuatilie mieleka
 
carcinoma

JF-Expert Member
Joined
Mar 5, 2017
Messages
4,072
Points
2,000

carcinoma

JF-Expert Member
Joined Mar 5, 2017
4,072 2,000

Acha nikakonekt wifi ya ofisi nishushe huu mzigo fasta
 
kitipro

Member
Joined
Sep 27, 2014
Messages
22
Points
45

kitipro

Member
Joined Sep 27, 2014
22 45
So far My All time tv shows:the Americans,breaking bad,24,Fargo,game of thrones,band of brothers,homeland,ray Donovan,vikings,banshee,the wire,the sopranos,true detective,house of cards,prison break,desperate housewives, strike back,the night of,better call Saul,designated survivor,the last ship,the blacklist
 
Jay Gatsby

JF-Expert Member
Joined
Jul 28, 2017
Messages
693
Points
1,000

Jay Gatsby

JF-Expert Member
Joined Jul 28, 2017
693 1,000
Wakuu mimi sio mfatiliaji sana wa series coz huwa navutika na series chache sana. Sasa nimeona niweke list ya series nilizowahi kuangalia ili nipate mchango kwa wadau humu nione ni series gani zinazoendana na hizo ambazo zitaweza kunivutia.
1. American Gods
2. Gotham
3. The last man on earth
4. Strike back
5. The Get Down
6. Atypical
7. Vikings
8. The 100
9. Teen wolf
10. The origin
11. Stranger things
12. O.Z
13. The simpsons
14. Atlanta
15. Money heist (la casa de papel).
Kama uliipenda Strike Back tafuta Brave or Six,Kama uliipenda Vikings Tafuta The last Kingdom or GOT,hizo ulizotaja nyingi zipo unique sana sijui kama kuna mbadala wake mzuri
 
Forum statistics

Threads 1,356,887
Members 518,959
Posts 33,140,304
Top