Series (Special thread)

Movie gnMovie gan Kali kma money heist wazeeee
Kuna hii the kill point....ina season 1 ni ya mwaka 2007 ni kali kinoma ..
Inahusu a group of marines wametoka vitani kitaa wakakuta pagum wakaingia benki kuiba mkwanja..
Ile kutoka nje wakawa busted ikabidi warudi ndani kuandaa plan ya kuchomokea..

Ni bonge la kitu
 
dare devil ya mavel ipoje wakuu??
Daredevil ndo series pekee ya Marvel nliyoipenda, ni nzuri mkuu Fanya kuiangalia....too bad it was cancelled after season three. Hata series ya The Punisher ilizaliwa kutoka Daredevil
 
kuna ma showrunner wapo kwenye mazungumzo na George Martin kuangalia huwezekano wa kuandika kitabu kinachoelezea matukio ya kabla ya GOT itaitwa Things before GOT
Habari ya siku mkuu!hope itakuwa nzuri sana itajaa mwanzo magic wa continent ya Essos na westerous pamoja na islands bettle za first men vs children of the forest first men vs Andals,etymology Lord houses ,creation of cities, utawala wa bran the buider ,mad kings how king baratheon the rebellion came to power na nyinginezo itakuwa nzuri sana
 
Ipi inashawishi kuanza nayo.Power teyari nimeshaimaliza.
Screenshot_20190507-091358.jpeg
Screenshot_20190507-091345.jpeg
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom