mankachara
JF-Expert Member
- Sep 27, 2013
- 6,161
- 3,495
Hajui kuongea. Vitendo tuAlivyokuwa anamsogelea dogo brayn pale nilikua nasubiri atoe neno lolote nisikie sauti yake lakini wapi
Hajui kuongea. Vitendo tuAlivyokuwa anamsogelea dogo brayn pale nilikua nasubiri atoe neno lolote nisikie sauti yake lakini wapi
Sema yana akili zaidi ya mazombi ya walking deadHajui kuongea. Vitendo tu
Into the badlands amawadau wa tv series hii link mpya tunchukua vip sieries https://fc.lc
The enemy within iko poa sana24
Prison break
Homeland
The enemy within
FBI
.
.
.
YakimarekaniYa kichina
11.QUEEN OF THE SOUTHNimetafuta humu sikuona special thread kwa ajili ya series ila movies.
Kwa wale wapenzi wa series tujadili hapa series tulizoona na ilivutia,pia wengine ambao hatujui baadhi ya series tunaweza kupata hapa majina ya series mpya.
Kwa upande wangu hizi ni baadhi ya series nilizongalia na zimenifurahisha.
1.Leverage
2.Breaking bad
3.Prison break
4.Burn Notice
5.Lost
6.Revolution
7.How to make it in America
8.How I met your mother
9.Martin
10.Community
11.Walkind dead
Hizo ni baadhi tu..
UPDATES ZA SERIES TOFAUTI KUTOKA KWA WACHANGIAJI KWENYE THREAD.
New tv series nnazozipenda.
1.The last kingdom
2.Narcos
3.Quantico
4.blindspot
5.the bastard executioner
6.limitless
7. jessica jones
8.the returned
9.Tyrat
10.Power
Napenda sana za season za dizain ya merlin huwa nazielewa, hiv kuna yeyote anaejua season kama hiz aniorodheshee hata 3 nizitafute niwe nacheki nikiwa free
Sawa santee sanaaTafuta Legend of the seeker... kama uliipenda merlin i'm sure na hyo utaipenda! pia tafuta The Shannara Chronicles ila hii sijui wameikatisha zimeshatoka season 2 tu na muda mrefu umepita season ya 3 haijatoka!
Tatizo iko season moja tuu.The enemy within iko poa sana
Tatizo iko season moja tuu.
The Enemy Within ni series mpya mkuu,,hadi sasa wametoa ep 10..na bado wanaendelea kutoa ep kila wiki,,,tusubiri baada ya season 1 wanaweza kupewa season 2 tenaTatizo iko season moja tuu.
Hivi "The brave" inarudi lini
19 JulyMoney heist ln wazeee
Movie gan Kali kma money heist wazeeee19 July
Sijajua bt mpk sasa ni single epsodeDuh!haina muendelezo ina maana,maana ndio kwanza nimeangalia episode 3 tu?