Jumong S
JF-Expert Member
- Jul 3, 2013
- 7,427
- 10,749
Ndio maana wenye roho ngumu tunaangalia GOT-Game of Thrones, hii haina mmiliki, kila mtu yupo n death line!Hapo tupo sawa... niliishia season ya 4 ..nikitarajia labda itabadirika... jamaa serikali yeye inamhitaji, majambenga yupo sasa unaangalia nini ,...
Sent using Jamii Forums mobile app