Series (Special thread)

Aliyeangalia LUCIFER inashawishi ama ya kawaida?
Screenshot_20190511-094629.jpeg
 
Noma mzeee,hatari sana hii series.

Senzo akirudi tena sijui itakuwaje na adui atakuwa nani,maana yule master kamwambia his work has just began,na atarudi duniani in due time.

Atakuwa yule dogo alieonekana mwishoni mwa last episode coz nae kichapo chake kilikua sio cha kitoto..
 
Atakuwa yule dogo alieonekana mwishoni mwa last episode coz nae kichapo chake kilikua sio cha kitoto..

Nadhani pia kuna kile kisa cha yule mama high priestess Cressida na Nathaniel,ila naona Wamemuua PILGRIM mapema sana aisee mi nilikuwa naona yule jamaa ndo anafanya iwe interesting kuangalia
 
Nadhani pia kuna kile kisa cha yule mama high priestess Cressida na Nathaniel,ila naona Wamemuua PILGRIM mapema sana aisee mi nilikuwa naona yule jamaa ndo anafanya iwe interesting kuangalia
Kiukweli hii S3 wameikimbiza sana... Uhondo ulipungua kabisa...
 
Unaongelea hii episode ya 5 au? Hyo plot twist mi nimeipenda sana, story nzuri haitakiwi iwe inatabirika sema Cercie na Euron Greyjoy wamekufa kizembe sana!
Yeah ep 5.... cercie nilitaka akatwe shingo then episode nzima arya yuko vitani hajaua mtu hata mmoja
 
Yeah ep 5.... cercie nilitaka akatwe shingo then episode nzima arya yuko vitani hajaua mtu hata mmoja

Hahah..Yeah kuna vitu wamebugi kusema kweli hii season ya mwisho esp nikama wamekurupuka hivi bdo kuna maswali mengi hayana majibu na ndo inakaribia kuisha hvyo!
 
Similar Discussions

67 Reactions
Reply
Back
Top Bottom