Series (Special thread)

Napenda sana za season za dizain ya merlin huwa nazielewa, hiv kuna yeyote anaejua season kama hiz aniorodheshee hata 3 nizitafute niwe nacheki nikiwa free
 
Wakuu najua kila mtu ana mitizamo yke na preference zake ila ingependeza kama tukajaribu kushare ideas za series kali ambazo umeenjoy kuziangalia zaidi so far..itakuwa rahisi kama kila mtu akataja Top 10 list yake,personally mi napenda series za aina zote kasoro za kikorea na za vichekesho/Sitcoms..na hii ndo all time list yangu!

1.Prison Break

2.GoT

3. 24

4. Breaking Bad

5.Vikings

6.Spartacus

7. Blacklist

8. The Last Kingdom

9. Into the Badlands

10. Strike Back
24
Prison break
Homeland
The enemy within
FBI
.
.

.
 
Wadau naomba mwenye link bomba za kudownload series na movies free aniainishie ili nisipitwe nami.Ahsante
 
Kama uko interested you may find me tuongee zipo 500+ single muvi na series kadhaa...
1081005
1081006
 
Wazee wa LA CASA DE PAPEL,na movie za aina hio,kuna hii mambo inaitwa THE KILL POINT,ya mwaka 2007.
Kutana na mtaalaam John Leguizamo kama MR WOLF(robbers wanatumia majina ya wanyama),utamkumbuka katika JOHN WICK kama Aurelio,veteran wa Iraq war,akiwa na wahuni wenzake katika harakati za kukwapua mipunga benk.Believe me,It is worth watching
Mkuu naomba linki ya the kill point..nimekosa sehemu ya kuidownload
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom