Series (Special thread)

Series (Special thread)

Wazee wa LA CASA DE PAPEL,na movie za aina hio,kuna hii mambo inaitwa THE KILL POINT,ya mwaka 2007.
Kutana na mtaalaam John Leguizamo kama MR WOLF(robbers wanatumia majina ya wanyama),utamkumbuka katika JOHN WICK kama Aurelio,veteran wa Iraq war,akiwa na wahuni wenzake katika harakati za kukwapua mipunga benk.Believe me,It is worth watching
Ni series??

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Last episode ya The Blacklist hawakututendea haki, haikuwa na mvuto kabisa na matukio hayasisimui. Ngoja nipakue hii ya jana niione
 
Wakuu najua kila mtu ana mitizamo yke na preference zake ila ingependeza kama tukajaribu kushare ideas za series kali ambazo umeenjoy kuziangalia zaidi so far..itakuwa rahisi kama kila mtu akataja Top 10 list yake,personally mi napenda series za aina zote kasoro za kikorea na za vichekesho/Sitcoms..na hii ndo all time list yangu!

1.Prison Break

2.GoT

3. 24

4. Breaking Bad

5.Vikings

6.Spartacus

7. Blacklist

8. The Last Kingdom

9. Into the Badlands

10. Strike Back
 
Kwa wale ambao hawajacheki into the badland s3episode 14 link

Sent from my SAMSUNG-SM-G870A using JamiiForums mobile app
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom