Series (Special thread)

Series (Special thread)

Mm nasubiri kuona sunny aki unlock gift yake japo master alisema gifts is not a weapons

Sent using Jamii Forums mobile app
Lazima ata unlock tu maana kumstopisha Pilgrim ni shughuli pevu!! Sikuamini kama The Master alikalishwa kiulaini na jamaa daaah ni shida asipostopishwa. Ila nimeipenda sana hii ep12 imekua ya kibabe fayaaaa!!

Sipati picha mkono wa Sunny na Pilgrim alafu Sunny awe amepata ile gift yake. Itakuwa ni balaaa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nasuburi tu reaction ya deenerys baada ya kufaham kuwa jon ni targaryeen na yeye na ni true heir to the iron throne

Glad to see eddy,tormund na berick denderon walinisurika

Sent using Jamii Forums mobile app
 
HANNA hakuna kitu aisee,wasambazaji wake nahisi walishitukia mapema,baada ya kuachia epsode moja,wakaona wasikilizie waje waachie vipande vyote,,watu tukomae na matango pori!!

Kama unakumbuka hii movie ya 2011 ndio wametengenezea series ...soo sio mbaya kivile niliovyoona episode ya kwanza nikaikumbuka hii movie
 
Nasuburi tu reaction ya deenerys baada ya kufaham kuwa jon ni targaryeen na yeye na ni true heir to the iron throne

Glad to see eddy,tormund na berick denderon walinisurika

Sent using Jamii Forums mobile app
Hii ishu italeta mvutano....cdhani kama daenerys atakubali kuachia mtu yoyote kua heir to the iron throne

Oh my..... ain't no tellin
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom