Nigendako
JF-Expert Member
- Dec 1, 2017
- 23,297
- 122,384
Hivi nzuri hiyo.. Episode za mwanzo zishaniboa...Manifest
Wewe jamaa bhana,,kwa hyo ukaamua kunizima kabsa sio??
Ina seasons ngapi mpaka Sasa? The AmericansMy #1 Series... na linapokuja suala la espionage series, sidhani kama kuna ya kuikaribia!
Mbona umecheka mzee,,unamkumbuka jamaa alikuja hapa kwa mbwembwe et anaunga bado la halotel kwa buku 5 unapata gb 13??
The Americans sasa ipo S6Ina seasons ngapi mpaka Sasa? The Americans
Ok mkuuThe Americans sasa ipo S6
Mbona umecheka mzee,,unamkumbuka jamaa alikuja hapa kwa mbwembwe et anaunga bado la halotel kwa buku 5 unapata gb 13??
Mwez wa pili sasa bado lipo hewani hahahah
Hahah jamaa chenga tu,,ila fresh tu ndio life hyoNakumbuka mzee mimi maelezo yke yalinipa tabu kuelewa nkaona bora niachane na hiyo kitu
Pole sana mkuu
Sent using Jamii Forums mobile app
Shida kwamba quality mbovu kwanini hamuweki angalau mp4 mkuu?Download App hii Playstore uweze kudownload Movie na seasons zilizotafsiriwa Kiswahili na nyimbo Kali zinazotamba buree.
Tunaendelea kuweka movie kila Siku usikose.
https://play.google.com/store/apps/details?id=com.brommko.android.clicktech
Sent using Jamii Forums mobile app
Zimeanza kuwekwa ila kwa movie mpya zenye miendelezo kama Chandragupta,race,princess na AladdinShida kwamba quality mbovu kwanini hamuweki angalau mp4 mkuu?
Aisee fanya hivo so far ni kazi nzuri vipi unaweza nipa link ili nipate mp3 hata hizo za nyuma mkuu.? Ukiacha hizi za 3gp za appZimeanza kuwekwa ila kwa movie mpya zenye miendelezo kama Chandragupta,race,princess na Aladdin
Sent using Jamii Forums mobile app
Hapana Mana hazipo kwenye saver zipo ofisini(disk)Aisee fanya hivo so far ni kazi nzuri vipi unaweza nipa link ili nipate mp3 hata hizo za nyuma mkuu.? Ukiacha hizi za 3gp za app
Doh fanya hivo mkuu 3gp tatizo.