Series (Special thread)

Hivi breaking bad nzuri.. niliangalia mpaka episode ya 4 nikaona inanichosha tu...

Na The Wire vip nayo.. naona inaelekea kunishinda maana hamna hamsha hamsha kabisa
Breaking bad komaa nayo umalize season 1 hivyo hivyo kibishi.. Ili uelewe utengenezaji ulianzaje.. Baada ya hapo utanyoosha mikono juu nakumkubali mzee baba Walter white
 
Natafuta Series ya Kipori pori kama The 100 jamani niangalie series gani????? Ambayo imeshootiwa porini porini tu alafu ina actions...
 
Breaking bad nilikuwa nayo nikaicheki mpaka episode 5 nikaona inanipa usingizi nikaiacha..


Baadae nikaona watu wanaisifia sana....nikawa nawashangaa sana.

Kupitia pitia humu napo nikaona mnaisifia sana.

Ngoja nikaipakue tena upya niicheki maana nilikuwa na mzigo wote nika-delete.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…