Series (Special thread)

Series (Special thread)

Nafikiria vip jamaa wapande ndege kutoka jamaica leo halaf wafike after 5 years?? Daah hawa watu wanajua kuigiza bhana wanakuacha na maswali kichwani kila ep inayopita,,sasa ule mzimu naona umeanza kuwatandika watu risas za vichwa,sijui yule mtoto alipata ishara gan kumchora yule kivuli
Wanaotumia Terrarium baada ya marekebisho watupe shule kwa urahisi namna ya kuitumia tena as hii Teatv naona ka inausumbufu mkubwa, haiko stable kabisa japo nimedownload hadi ADM.
 
natumai ni wazima wa afya humu ndani na kwa wale wenye matatizo ya kiafya Mungu awaondolee matatizo yao
waheshimiwa nahitaji kuwa mwanafamilia rasmi wa drama and series za kimagharibi hususani marekani ila sina uelewa wowote, hivyo basi ningependa munisaidie tovuti ambazo nitaweza kuziangalia hizi project na pia munisaidie tovuti nitakazoweza kusoma habari za celebrties.

nafahamu ya kwamba taarifa zote naweza kuzipata kupitia search engine ya google lakini dhumuni kuu la kuwepo thread hii ni kushare idea na fikra huru kwa member
Vile vile naomba munisaidie list ya project zilizofanya vizuri kuanzia mwaka 2016 hadi kipindi hiki.
  1. medical drama and series
  2. action and thriller series
  3. criminal and investigation series
  4. romantic comedy
  5. family series
nimeanza kuiangalia the good doctor season 1 ambayo ni remake ya drama ya kikorea inayoitwa good doctor.

1538974687223.png
 
Mzigo wa Blindspot season 04 unarudi this Jumapili........hapa ngoja nijipoze na episode 05 ya The last ship
 
hivi hakuna sehem ambayo unaweza pata series tofauttofaut kwa DSM.
me kupakua kunachosha aisee.
 
Hivi kuna mtu anaangalia kitu cha Black Earth Rising? Inahusu ishu ya genoside iliotokea Rwanda. Nimeanza nayo mpaka sasa ep 2 iko vizuri . Itafuteni
 
Kuna series inaitwa House of Cards, kuna mtaalam Underwood humo, ana visanga hatari, japo inahusu politics ila ni noma sana
dah mkuu hio ni bonge ya series aisee zipi zingine unazozipenda> mi nmecheki
the wire
the bloodline
the americans
the west wing
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom