Download u torrent kisha fungua hiyo link bonyeza palipo andikwa get this torrent it itakupeleka u torrent ponyeza palipo andikwa add itaanza kudownload a good thing hiyo link ina seeders wengi na mb 200 tu but mp 720Ila hii inanichanganyaga kwel kupakua kiukwel,wale tuliozoea terrerium kiukwel tunaadhibiwa mno kwa kipind hiki
Haipo play StoreIpo Play store?
Hii ni application inaitwaje
Nimescreen shot kwenye browser tu mkuuHii ni application inaitwaje
Inakuja vuta pumziHivi Into The Badland ndo wameicancell au
e9 imetoka lin? waliishia e8Imeishia S2E09
Ni moto kweli kweli,,daaaah nmechek jana na leo naangalia ep 2 asee tamu balaaaManifest nimecheki trailer yake naona ni ya Moto ngoja niitafutie muda
Tom Clancy's JACK RYAN
Season 1 Complete - 8 Episodes.
Hutajutia kuiangali maisha yako yote.
Ni action ya maana
Kama upo dar nicheki nikupe full
Hii Magnum P.I ipo poa sema jamaa wamezidisha sana 'stunts' yaani inakuwa kama unaangalia sci-fiList ya series mpya nazoangalia kwa sasa
Magnum P.I
Bodyguard
Outpost
FBI
Manifest
Hata the 100 naamini imesurvive kwa sababu iliingiza vitu vya kubadilika vya city of light vinginevyo ingekatizwa piaKiukwel navyoona Manifest ipo siku wataikatiza,ina nipa kumbukumbu ya Crossing/event
Nahisi dogo ndo anuona mzimu peke yake, ila wenye vihelehele vya kuongea ndio mzimu unadili naoNafikiria vip jamaa wapande ndege kutoka jamaica leo halaf wafike after 5 years?? Daah hawa watu wanajua kuigiza bhana wanakuacha na maswali kichwani kila ep inayopita,,sasa ule mzimu naona umeanza kuwatandika watu risas za vichwa,sijui yule mtoto alipata ishara gan kumchora yule kivuli
Inawezekana,ila huko mbelen naona kitanuka sana,tukijua haswa hii ndege ilikua wapNahisi dogo ndo anuona mzimu peke yake, ila wenye vihelehele vya kuongea ndio mzimu unadili nao
Same thought mbadala wa mshua.. anyway you never know..Cal anaweza kuwa ndo mhimu wenyewe au anatumika kwani yule mama street alishout he is risen au yeye ndo anauona inaweza kuwa pia call ile shadow aliochora ikawa ni vision ya jamaa anaembadala wa baba yake!