Series (Special thread)

Series (Special thread)

Unabishana na dunia kwenye hili?? Inamaana mamilion waliorate breaking bad kuwa ndio series bora kabisa hawana akili?
Nimeangalia zote hizo ni nzuri ila kuchagua moja I will choose breaking bad. Maana Yule jamaa hum suspect kabisa. The wire inasikitisha walikuwa mwisho wanauwana tu. Hata main character humjui ni nani. Mwisho wa siku wanauwana. Omar aliuliwa, na Yule idris alba aliuliwa. Vitoto vya corner yaleyale.mwisho wa series Yule aliekuwa good boy baadae akawa teja.
 
Breaking bad
G.O.T
24
Lost
The walking dead
X.files
Fargo
Person of interest
The sopranos
 
asee nimedownload money heist season 02 sema ndo haina subtitles; mwenye kujua link yenye subtitles zake naomba link, maana nimejaribu sehemu kibao sijazpata zenyewe zenyewe nyingi zinakuwa magumashi zina contents za season 01 ila zina majina ya season 02
 
asee nimedownload money heist season 02 sema ndo haina subtitles; mwenye kujua link yenye subtitles zake naomba link, maana nimejaribu sehemu kibao sijazpata zenyewe zenyewe nyingi zinakuwa magumashi zina contents za season 01 ila zina majina ya season 02
Tumia mx player
 
Mimi niulize tuu wadau, Kwa anae fatilia bindspot kuna mpango wa kutoa season 4
 
hii MX player ina features gani mkuu itayoniwezesha kutatua shida yangu?
Wakati una play movie yako angalia upande wa kulia juu, utaona dots tatu ziguse kisha itafunguka menu. Katika ile menu gusa sehemu imeandikwa subtitle, itafunguka menu nenda kwenye sehemu imeandikwa online subtitles, nenda sehemu ya search, itakuja option ya kusearch direct au kuandika jina ndio usearch weka alama ya tiki kisha andika jina la movie yako au season na episode kisha search.
 
Ngoja nieke chache (nnafuatilia nyingi hadi nmekua teja)
The 100 - iko season 5
Shooter - iko season 3
Preacher - iko se3
Quantico iko se3
12 monkeys
Lucifer
The Blacklist
Blindspot
Lethal weapon
Designated Survivor
 
Nitaitafuta niendelee nayo, kuna kipindi ilinzakuwa slow nikaipotezea, ila inaweza kuwa slow halafu, paaa, linaibuka dubwana huko vuruguuu.

Ukiangalia series kama hizo sana ikitokea apocalypse unaweza kuwa umejifunza survival skills.
Nna telegram channel hua wanatoa updates zao kila wiki inayotoka
Jumatano imetoka season 5 episode 11... ni moooto
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom