Emmanuel nemes
JF-Expert Member
- Nov 20, 2016
- 888
- 655
Mkuu hiyo knightfall vipi tamu?
Ipo njema sana. Ina story nzuriMkuu hiyo knightfall vipi tamu?
Sawa mkuu napenda Sana story za King shipIpo njema sana. Ina story nzuri
Daah kumbe...hii series naisubiria kwa hamu sanaaKwa kawaida series nyingi zikifika katikati ya season huwa zinaenda short break, wenyewe wanaita MIDSEASON BREAK na huchukuwa zaidi ya mwezi kurudi
INTO THE BADLAND season ya 3 ina episode 16 that way ilipofika episode ya 8 wakaenda break
Jaribu ku uninstall full hyo idm, halafu reboot hyo PC then nenda local C angalia kama kuna folder la IDM futilia mbali. Then Disable Antivirus halafu install tena itakubaliMsaada! Idm niliyokua natumia ilikuwa cracked, kuna siku nilijichanganya nika update baada ya hapo imekuwa ni kizungumkuti kila nikidownload na kuinstall inazingua balaa. Mkuu hebu nipe wazo
Shukrani kiongoziJaribu ku uninstall full hyo idm, halafu reboot hyo PC then nenda local C angalia kama kuna folder la IDM futilia mbali. Then Disable Antivirus halafu install tena itakubali
kama unapenda series za mablack america
- The chi
- the OASIS
- SNOWFALL
Kila season inayoendelea huishia bila kueleweka,subiria inayofata mwakaniMbona season 2 imeisha bila kueleweka? Kwan hera zimeenda wapi?
Mkuu lacasa inaendeleaKila season inayoendelea huishia bila kueleweka,subiria inayofata mwakani
Watch El Chapo 2 (2017) Full Movie on FMovies.toKweli mkuu, wakikupa ni tag namm,,, ninayo episode moja ila haina subtitle nkaishit na iyo web
Black Sails Torrents - Watch & Download on EZTVmkuu npatie link ya season 3, nymeria.com wameweka seasons 2
Umewahi iona the have and the have not mkuuKila season inayoendelea huishia bila kueleweka,subiria inayofata mwakani
Hapana..Umewahi iona the have and the have not mkuu
Ndio. Mwakani season 02M
Mkuu lacasa inaendelea
Tanx for the updates maana me nilijua goma lishayoyomaNdio. Mwakani season 02