Series (Special thread)

Series (Special thread)

Ipoje hii kijana
Chekii cover lake mkuu
Screenshot_20180708-120949.jpg
 
mecanismo.jpg

Dramatic fiction series loosely inspired by an investigation of corruption in Brazil's private and state oil companies and construction companies.

Wakuu Mzigo huu. Season 01 ina episode 8 tu.

mbombo miyako!
 
Ukiukiza kwa nn utanionea aloo,ila nilikua naipekua pekua nikaona baada ya siku 40 jana ss leo bado 39 ila sijui kwa nn,labda watabadili maamuz iwe faida kwa sisi wapenz wao
Kwa kawaida series nyingi zikifika katikati ya season huwa zinaenda short break, wenyewe wanaita MIDSEASON BREAK na huchukuwa zaidi ya mwezi kurudi

INTO THE BADLAND season ya 3 ina episode 16 that way ilipofika episode ya 8 wakaenda break
 
Mkuu kama unadownloadia simu na unataka kuhamisha kwa Pc Ni lazima uwe na Window Archiver (winrar) coz hilo file linakua katika mfumo wa .rar ambayo itakuwezesha kuextract hilo file liwe video ya kawaida.
Kwa simu unaweza download app playstore RAR application na ukaextract hiyo. Zip file
Todaytvseries2.com wako njema sana na wanaweka ontime size hua ni mb 185-225 tu per episode.....nawaaminia sana

Nimeicheki lkn kwa pc inagomesha au kuna mbinu mbadala, msaada hapo kijana....
 
download.jpeg

Alex Godman, the English-raised son of an exiled Russian crime family, has spent years trying to evade his family's past and live on the straight and narrow, running a legitimate business and mapping out a future with his girlfriend Rebecca. As he struggles against the lure of corruption and his family's former mafia connections, tragedy strikes and he finds himself drawn into the shadowy underworld of international crime, fighting for survival and revenge. "McMafia" is inspired by journalist Misha Glenny's best-selling book of the same name.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom