9 mkuu!!season ya pili ya lacasa de papel inavipande vingapi
Nasubiri zijae jae kucheki episode moja moja inanikata stimu
Woooooow. Can't wait
9season ya pili ya lacasa de papel inavipande vingapi
Mkuu mbona kama haikubali, nitume namba basi PM uniaddBaada ya JF kutokuwa hewani palianzishwa group ya WhatsApp kwa ajili ya kubadilishana taarifa kuhusu *movies* na *series*. Kiunganishi ni hili; Movies & Series Club kama unapenda kujiunga
Inakubali. Jaribu tena, ukishindwa tuma sms ya WhatsApp kwa namba hii +255692504849 atakuunga.Mkuu mbona kama haikubali, nitume namba basi PM uniadd
Ziko 4 mpaka sasacondor ina epsode ngapi hadi sasa?
NTAANZA KUIANGALIA KWANZIA SIZONI YA 2 ACHA ZIJAEJAE KWANZAZiko 4 mpaka sasa
Izo nusu huwa zinanipa stress tu kujua nn kitaendelea...NTAANZA KUIANGALIA KWANZIA SIZONI YA 2 ACHA ZIJAEJAE KWANZA
ni kweli.. kwa sasa upo na ipi?Izo nusu huwa zinanipa stress tu kujua nn kitaendelea...
Jaribu succession....mkuuMimi kwa sasa naangalia story tu!
condor ina epsode ngapi hadi sasa?
BLACK SAILS ni noma.Sina series kali kwasasa nachekchek crossing na americans