Series (Special thread)

Series (Special thread)

Ndugu zanguni natafuta mtu mwenye Homeland kuanzia season 1...tutafutane tafadhali niko Dar maeneo ya Upanga
 
Mkuu hivi website gani nzuri kwa kushusha movies na series katika quality nzuri na less MBs mfano quality ya 240p,360p,480p n.k sitaki ile 1080p kwenye simu hii naona haina haja sana maana hata Mp4 tu inatosha quality yake.Ahsanteh
SDG
Pengobovu
Viol
Mkuu tumia hata telegram pia kuna baadhi ya movie na series unaweza pakua kule kwa HD halisi kabisa
 
Mwenyd jina la series kal yenye mwendelezo plz week end hii nipo empty kbsa
 
  • Thanks
Reactions: SDG
Hapana nipe intro kidgo mkuu ninze kuipakua sasa hiv maana sitok nje mpk monday
Aise, hii iko vzr sana ni Season 1 na ina epsode 10,,,inaelezea jinsi zile embassy za USA zilizolipuliwa 1998 huko Nairobi na Dar,, na jinsi al-qaida ilvohusika na Osama,, ni series tamu sana Aise maudhui yale kama ya The Brave, VALOR,,, imetoka Aprili mwaka huu
 
Mkuu hivi website gani nzuri kwa kushusha movies na series katika quality nzuri na less MBs mfano quality ya 240p,360p,480p n.k sitaki ile 1080p kwenye simu hii naona haina haja sana maana hata Mp4 tu inatosha quality yake.Ahsanteh
SDG
Pengobovu
Viol
Mkuu nakushauri hiyo todaytvseries2.com
Japo ads ni nyingi sana lakini ukitumia browser kama Phx au zilizotoka na simu haitakupa shida. Zinaanzia mb 150-225
 
Mwenye collection ya series kama The Strain season 4 na kuendelea,Into the bad lands, Gang related,Atlantis season 2+ na kadhalika na kadhalika naomba tuwasiliane ili nkutafute leo hii.

Nitumie namba yako ili tuwasiliane
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom