Ha ha haThe Crossing Episode ya 8 imeinanga Tanzania kwa ukweli unauma.
Inazungumzia mauaji ya albino Tanzania na kukithiri kwa imani za kishirikina.
Japo inasifia uwepo wa TEMBO.
Shukran sana Mkuu.
The Crossing ni series ya KUFIKIRIKA haswa
Try legal drama The contempt, au for the people,au crime deep state, ni new tho 2018Any New Series ambayo iko Episode 1,2 or 3?
Kupishana kwa subs inategemea na quality ya file unaloangalia.....huwezi kuplay subtitle ya 1080p kwenye 480p lazima zipishane...hakikisha unatafuta sub sahihi kwa quality husika. www.subscene.com recommendedNimepata season2 iko na 6 but subtitles zake chenga sana zimepishana..
Hii unaipataje mkuu,Sikua naijua hii,naona ina MB CHACHE SANA.
Ina complication kwenye ku download nimeachana nayo,ila kuna jamaa aliiweka hapaHii unaipataje mkuu,
Kwenye hii kuna baadhi ya season inaandika not access, shida ninini?
Deep State naendelea nayo,sijui imeisha?Nimefikia episode 8Try legal drama The contempt, au for the people,au crime deep state, ni new tho 2018
Mkuu hivi website gani nzuri kwa kushusha movies na series katika quality nzuri na less MBs mfano quality ya 240p,360p,480p n.k sitaki ile 1080p kwenye simu hii naona haina haja sana maana hata Mp4 tu inatosha quality yake.AhsantehTry legal drama The contempt, au for the people,au crime deep state, ni new tho 2018
Shusha app ya Terrarium Tv ipo google search mkuu. Uta enjoy sana
Ahsanteh ila naona haiko user friendly na haina option ya kuchagua video format na naona link nyingi sana na ina quality za GBs na MBs nyingi sana ni nzuri ila bado hitaji langu halijakidhiShusha app ya Terrarium Tv ipo google search mkuu. Uta enjoy sana