Baba Swalehe
JF-Expert Member
- Jun 6, 2017
- 20,220
- 39,851
No one
Bas pita pita nikakutana na Hannibal ya 2013 asee ipo vzr sana nayo,sio ya kukosaAise, hii iko vzr sana ni Season 1 na ina epsode 10,,,inaelezea jinsi zile embassy za USA zilizolipuliwa 1998 huko Nairobi na Dar,, na jinsi al-qaida ilvohusika na Osama,, ni series tamu sana Aise maudhui yale kama ya The Brave, VALOR,,, imetoka Aprili mwaka huu
Inahusu nn mkuuBas pita pita nikakutana na Hannibal ya 2013 asee ipo vzr sana nayo,sio ya kukosa
Nmekupata mkuu,, ntaitafutaHyo hapo mkuuView attachment 792105
Poa poa kiongozNmekupata mkuu,, ntaitafuta
Iko kwa hewa tayari mkuu kacheckjamani mbona episode ya 6 into the badland season siioni o2tvseries au bado ajatoka
o2tvseries.com mbona hawajaweka kuanzia episode 4 hadi 6Iko kwa hewa tayari mkuu kacheck
Into the Badlandso2tvseries.com mbona hawajaweka kuanzia episode 4 hadi 6
Wewe unapata vipi chief Msaada link
Leo naangalia ya saba hapa kijana we unatafuta ya sita kwelijamani mbona episode ya 6 into the badland season siioni o2tvseries au bado ajatoka
Uko wapi?Anyone mwenye collection ya series like The strain season 4 na kuendelea,into the badlands,gang related season 2 na kuendelea na series nyingine nzuri kwa bei nafuu
Kuna namba takutumia ya mtu wa mishe hizo umcheckNipo Dar Mkuu na wewe upo Dar ipi?