mzee alpha
JF-Expert Member
- Jul 31, 2015
- 711
- 264
Hujanishawish, co kwa mzuka ulokuwepo sizoni 1Kwa nn watu humu wanalalamika designated season 2 sio kali sana? Aisee iomben radhi ipo poa sana bhana,tunaona maamuz na taasis ya Urais inavyopaswa kufanya kazi,nzur sana bhana



