Kama unazi-feel political drama, go for House of Cards.
Na kama umeipenda Power, tafuta The Wire...!
Kama unapenda real Spy (CIA not FBI Stuff) series, go for The Americans. Usitarajie kuona mikono ya mara kwa mara na gun shooting manake spies huwa wanamaliza mambo yao kimya kimya... na Homeland nayo siyo ya kuipuuza.
Na kama unapenda legal drama, tafuta Suit na The Practice.
Na kama ni mfuasi wa conspiracy theories... Martian, UFO stuff n.k, tafuta X-File... sema ya kitambo sana!!!
For medical drama, go for Grey's Anatomy... uzuri wa GA ni procedural (not serial) drama; which means unaweza kuanzia popote ingawaje imefika mbali sana... 14 Seasons, 300+ episodes!
Game of Throne huenda ikakuboa wakati unaanza lakini kama uliweza kuiangalia Breaking Bad episodes 3 za mwanzo, basi hutashindwa GoT na mwisho utagundua hukupoteza muda wako bure... ni hit series BUT beware with nudity na sex scenes.
Kama ni music fan kama mimi go for Empire~~ beware of homesexuality scenes. Wanaboa lakini una option ya ku-forward!