Hii mkuu ni power struggle katika jiji la Marseille, kuna mambo ya rushwa, ugaidi, madawa ya kulevya, sex, siasa, maisha ya ujumla na uongozi wa jiji la Marseille, ni ya kifaransa yenye subtitles za kiingereza..Marseille kuna waarabu na waafrika wengi sana, nakushauri uitazame, imetulia, ya kiutu uzima..Inahusu nini hii mkuu
Homeland series ni nzuri pia,for me its among the Best Tv show!
Umeona eeh. Bora kila episode na yake story behind iwe kidogo tu.Kweli nimejagundua series za kulaza story ndio kimeo zaidi.. Bora picha kama the brave kila epsod ni mission yake
Haha umetishaI'm not funny wa comedy aiseee. Mie naipenda midundano,nakos kwa kwenda mbele tu.
Lakini story muhimu ili ikuvutie kuangalia episode zinazofuata, hata strike back walishtukia hilo wakaanza kufuatlia stori kuanzia S05.Umeona eeh. Bora kila episode na yake story behind iwe kidogo tu.
Miss u my interpol[emoji4]Hahahaa!
Umefufukia wapiHahahaa!
Naona mission imeisha, good t see u again, welcome onboard espyHahahaa!
Si niliwambia mtamuona tuNaona mission imeisha, good t see u again, welcome onboard espy
Kastory kanakuwepo kakuvutia episode. Hata blindspot mnaona chanzo cha roman kunchukia Dada ake na vituko vyote vimeanzia season 2Lakini story muhimu ili ikuvutie kuangalia episode zinazofuata, hata strike back walishtukia hilo wakaanza kufuatlia stori kuanzia S05.
American Crime Story!? auJaman alieangalia American Crime huku yupo?
Yes!!!American Crime Story!? au
Mi niliangalia season 1 tu ,ile ya the people vs O.J Simpson, huku kwingine sijui ilivoendelea ila ntakuja kuiendelezaYes!!!
Waxha nimeipakua season moja ngoja niichek japo inaonekana ina story nzurMi niliangalia season 1 tu ,ile ya the people vs O.J Simpson, huku kwingine sijui ilivoendelea ila ntakuja kuiendeleza