sijui nini
JF-Expert Member
- Sep 29, 2010
- 2,553
- 1,292
Hii ilikuwa bonge la series.. Walinikera sana kuifuta..Nani kacheki hii series maana nasikia ilikuwa kali sana lakin ikapigwa ban COINTAINMENT
Alafu nilichokuja kugundua series zinazohusu CIA hazikosi mambo ya prisoner exchange, udukuzi wa berlin, drone strike, ugomvi na agency nyingine, terrorist kupanga kulipua marekani alafu akashindwa. Yaani stori zao zinacheza umoumo
na ukifatilia zaidi likija suala la sijui army trafficking, na silaha za ajabu ajabu wanakua warussia, kujilipua waarabu likija swala la drugs bas Mexican au asian halfu wamarecan wao ndio wazee wa kuweka mambo sawa
Haha nachopenda kila muvi wa Russia ni watabee balaa yan don't mess with Russianswanapenda kujipa ujiko, alafu warussia ndio wanawaonea sana.
Hizi zinaboa kwa sababu ukimaliza episode moja haikuhamasishi kuangalia next episode maana hamna cha kufuatilia. Yaani kama strike back kuna muda iliniboa ila nilikomaa nayo hivyohivyo.Ila sizipend series ambazo kila episode inakua na story yake huwa zinanikera sana
Kuna nyingne zinakua angalau maana kuna kua kuna story kubwa nyuma inayo connect ila nyingne zinakua zina kastory kadogo tu na hakapo interesting kama blindspot 3 ilivyo sasa had inaboa asee bora zile zilizopitaHizi zinaboa kwa sababu ukimaliza episode moja haikuhamasishi kuangalia next episode maana hamna cha kufuatilia. Yaani kama strike back kuna muda iliniboa ila nilikomaa nayo hivyohivyo.
Ingia 02tvseries.comKupitia simu vp?
Hamia airtel ila nako saiv wamebana, saiv tunadoea tu Wi-FiWakuu niaje, na downloads series lkn ata episode haiishi bando limekata... Naomba njia munayotumia kupata gb za kutosha.
Talk of the townVipi power mnaionaje... Nmeishia season 3
Hallotel ya chuo inakupa GB 10 kwa sh. 1500 (usiku pack...kuanzia saa 6 usiku ad saa 11)Wakuu niaje, na downloads series lkn ata episode haiishi bando limekata... Naomba njia munayotumia kupata gb za kutosha.
Ha ha ha ha Jaz na Adam Waleeee nawaona nawaonaaaKabisa, sema hii series wagumu, hamna hata mtu mwenye mpenzi humo ndani.
mie naipenda zote zote tu,sana sana kilaza tukio kivyake na liisheIla sizipend series ambazo kila episode inakua na story yake huwa zinanikera sana
O2 inaboa ina Pict quality mbovu sanaIngia 02tvseries.com
Ile arosto inapungua tatizo huwez hata kuwazia sijui kitaendelea ninmie naipenda zote zote tu,sana sana kilaza tukio kivyake na liishe
Exactly at least toxic wapO2 inaboa ina Pict quality mbovu sana