Greg50 JF-Expert Member Joined Feb 11, 2014 Posts 1,979 Reaction score 2,494 Feb 11, 2018 #9,881 Nokia83 said: Hiyo hapo kwny torrents mm nmeipata toka asbh Click to expand... 1337x.to hawajawahi kuniangusha hawa jamaa kila series wanayo, yaani baada ya extratorrent kufungiwa mwaka jana hii site ndio mkombozi wangu.
Nokia83 said: Hiyo hapo kwny torrents mm nmeipata toka asbh Click to expand... 1337x.to hawajawahi kuniangusha hawa jamaa kila series wanayo, yaani baada ya extratorrent kufungiwa mwaka jana hii site ndio mkombozi wangu.
Greg50 JF-Expert Member Joined Feb 11, 2014 Posts 1,979 Reaction score 2,494 Feb 11, 2018 #9,882 ledada said: Click to expand... Naona ugameofthrones humu ndani
ledada JF-Expert Member Joined Oct 4, 2015 Posts 17,456 Reaction score 67,408 Feb 11, 2018 #9,883 Greg50 said: Naona ugameofthrones humu ndani Click to expand... Mambo ya HBO hayo
clonazepam JF-Expert Member Joined Sep 10, 2017 Posts 248 Reaction score 283 Feb 11, 2018 #9,884 dah bora homeland irudi
Maxmizer JF-Expert Member Joined Aug 14, 2016 Posts 4,799 Reaction score 4,230 Feb 11, 2018 #9,885 Nokia83 said: Homeland imerudi season 7 Click to expand... Sent from my itel it1505 using JamiiForums mobile app
Nokia83 said: Homeland imerudi season 7 Click to expand... Sent from my itel it1505 using JamiiForums mobile app
donlucchese JF-Expert Member Joined Mar 23, 2011 Posts 17,258 Reaction score 22,130 Feb 12, 2018 #9,886 Sijui nlichelewa wapi kuiangalia Blackish. Nimeanza na season 4 ila nimekubali. Hii ni bonge la black-oriented sitcom
Sijui nlichelewa wapi kuiangalia Blackish. Nimeanza na season 4 ila nimekubali. Hii ni bonge la black-oriented sitcom
Nokia83 JF-Expert Member Joined Jan 16, 2014 Posts 24,643 Reaction score 44,371 Feb 12, 2018 #9,887 Ukiangalia homeland inabidi utulie kuelewa matukio..unaweza usielewe t-bag kapewa sumu vp hii episode ya kwnz inavyoisha jamaa wana akili sana
Ukiangalia homeland inabidi utulie kuelewa matukio..unaweza usielewe t-bag kapewa sumu vp hii episode ya kwnz inavyoisha jamaa wana akili sana
Mgagaa na Upwa JF-Expert Member Joined Sep 30, 2013 Posts 15,292 Reaction score 33,608 Feb 12, 2018 #9,888 Nokia83 said: Ukiangalia homeland inabidi utulie kuelewa matukio..unaweza usielewe t-bag kapewa sumu vp hii episode ya kwnz inavyoisha jamaa wana akili sana Click to expand... Huko kwenye home kuna theodory bagwel(t bag) pia!
Nokia83 said: Ukiangalia homeland inabidi utulie kuelewa matukio..unaweza usielewe t-bag kapewa sumu vp hii episode ya kwnz inavyoisha jamaa wana akili sana Click to expand... Huko kwenye home kuna theodory bagwel(t bag) pia!
Maxmizer JF-Expert Member Joined Aug 14, 2016 Posts 4,799 Reaction score 4,230 Feb 13, 2018 #9,889 yap
Nigendako JF-Expert Member Joined Dec 1, 2017 Posts 23,296 Reaction score 122,440 Feb 13, 2018 #9,890 The Brave,,episode ya 5 imeonesha Africa as civilied country,,imependeza sana,, Na yule black man hope asife azidi kunogesha series hii,,
The Brave,,episode ya 5 imeonesha Africa as civilied country,,imependeza sana,, Na yule black man hope asife azidi kunogesha series hii,,
donlucchese JF-Expert Member Joined Mar 23, 2011 Posts 17,258 Reaction score 22,130 Feb 13, 2018 #9,891 ningendako said: The Brave,,episode ya 5 imeonesha Africa as civilied country,,imependeza sana,, Na yule black man hope asife azidi kunogesha series hii,, Click to expand... Ndio uko ya 5 mkuu? Watu tushahit season finale
ningendako said: The Brave,,episode ya 5 imeonesha Africa as civilied country,,imependeza sana,, Na yule black man hope asife azidi kunogesha series hii,, Click to expand... Ndio uko ya 5 mkuu? Watu tushahit season finale
Nigendako JF-Expert Member Joined Dec 1, 2017 Posts 23,296 Reaction score 122,440 Feb 13, 2018 #9,892 donlucchese said: Ndio uko ya 5 mkuu? Watu tushahit season finale Click to expand... Yap mkuu,,, bt itaisha tu,, naenda nayo mdogomdogo
donlucchese said: Ndio uko ya 5 mkuu? Watu tushahit season finale Click to expand... Yap mkuu,,, bt itaisha tu,, naenda nayo mdogomdogo
vemma New Member Joined Dec 3, 2017 Posts 2 Reaction score 1 Feb 13, 2018 #9,893 Greg50 said: Counterpart mascience-fiction inaonekana tamu ngoja nisubiri itembeetembee kwanza. Click to expand... The Last Man on Earth it's good comedy tv series... Ollachuga Oc said: mkuuu hii tunatumiajee? Click to expand...
Greg50 said: Counterpart mascience-fiction inaonekana tamu ngoja nisubiri itembeetembee kwanza. Click to expand... The Last Man on Earth it's good comedy tv series... Ollachuga Oc said: mkuuu hii tunatumiajee? Click to expand...
Gwakukahja JF-Expert Member Joined Sep 26, 2015 Posts 1,119 Reaction score 740 Feb 13, 2018 #9,894 Into the badlands pia s3 inakuja
Nigendako JF-Expert Member Joined Dec 1, 2017 Posts 23,296 Reaction score 122,440 Feb 13, 2018 #9,895 Wayward Pines ishatoka S3?
mzee alpha JF-Expert Member Joined Jul 31, 2015 Posts 711 Reaction score 264 Feb 13, 2018 #9,896 clonazepam said: dah bora homeland irudi Click to expand... Dah yani yule raisi anaswaga za mukulu wa bongo
clonazepam said: dah bora homeland irudi Click to expand... Dah yani yule raisi anaswaga za mukulu wa bongo
mzee alpha JF-Expert Member Joined Jul 31, 2015 Posts 711 Reaction score 264 Feb 13, 2018 #9,897 Nokia83 said: Ukiangalia homeland inabidi utulie kuelewa matukio..unaweza usielewe t-bag kapewa sumu vp hii episode ya kwnz inavyoisha jamaa wana akili sana Click to expand... Haha fact
Nokia83 said: Ukiangalia homeland inabidi utulie kuelewa matukio..unaweza usielewe t-bag kapewa sumu vp hii episode ya kwnz inavyoisha jamaa wana akili sana Click to expand... Haha fact
mzee alpha JF-Expert Member Joined Jul 31, 2015 Posts 711 Reaction score 264 Feb 13, 2018 #9,898 Mgagaa na Upwa said: Huko kwenye home kuna theodory bagwel(t bag) pia! Click to expand... Yupo kajaa tele tena na mikono yoye mi2
Mgagaa na Upwa said: Huko kwenye home kuna theodory bagwel(t bag) pia! Click to expand... Yupo kajaa tele tena na mikono yoye mi2
mzee alpha JF-Expert Member Joined Jul 31, 2015 Posts 711 Reaction score 264 Feb 13, 2018 #9,899 donlucchese said: Ndio uko ya 5 mkuu? Watu tushahit season finale Click to expand... Season ya ngapi
donlucchese JF-Expert Member Joined Mar 23, 2011 Posts 17,258 Reaction score 22,130 Feb 13, 2018 #9,900 mzee alpha said: Season ya ngapi Click to expand... The brave ina season 1 tu mkuu