Kuna baadhi ya shows huwa zinazuiwa kutokana na maslah ya nchi.
Kuna series iliwah kuishia season one tu lakini ilionekana inafichua siri za wakubwa USA ambao pamoja na kwamba ni viongoz pia wanauza silaha afrika kwenye black market na kunufaika na migogoro hiyo.