Yaani scandal yao kule ni hivo kutongoza tongoza ovyo actresses kisa wao waongozaji au wana nyadhifa fulani kwenye kampuni inayoshoot filamu. So,sio wote waliobaka..wengine tongoza tongoza huku wakitishia kama watakataliwa kuendana na nafasi zao,watawatimua.
Hzi safar za dodoma zimekua nying ila sasa nipo sana,nafurah kuwakuta tena japo naona kama kuna watu waliyaka kuingiza mambo yao na iman zao mkampa za uso ha ha ha
Usijimalize!! Ushawahi kufikiria nini kinaweza kutokea pale a target anapoonekana kuwa ni shoga?! Your Deep Cover Operative Dude itabidi awe Basha wa muda!!!
Usije kughadhibika siku pale huyo target ndo itakapoonekana ndo Basha mwenyewe sasa!! Your Dude in deep cover itabidi aende akirembua macho...
Don't underestimate Hollywood! Akili zao zinawatosha wenyewe....