donlucchese
JF-Expert Member
- Mar 23, 2011
- 17,258
- 22,130
Mama.e zake msen.g.e clem, yaan saivi ndio anajilia jane doe kirahisi hivyo?Roman jamaa lina akili, yaani vitu vinatokea sasa hivi yeye alishavipanga akavipiga tatoo kwa dadaake. Sema nao s03 kama wanarudia stori zilezile za mkubwa wao anakua traitor alafu wanamuondoa.
Weller imekula kwakeRoman jamaa lina akili, yaani vitu vinatokea sasa hivi yeye alishavipanga akavipiga tatoo kwa dadaake. Sema nao s03 kama wanarudia stori zilezile za mkubwa wao anakua traitor alafu wanamuondoa.
Hasa kuanzia episod ya nane ndo tamu balaaaImeisha season 1 sijui washapata order ya S02..
Tupo mbona umepotea sana??Hili jukwaa nililimiss sana,mupo akina maserati,
Tusubiri JUMATATU/JUMANNE.Imeisha season 1 sijui washapata order ya S02..
Haiwezi kutoka haraka kiasi hicho kama itaendelea season 02Tusubiri JUMATATU/JUMANNE.
Mie huwa naishusha jumanne mida ya saa 5 asbuhi
So E 13 ndo finale ya S01????Haiwezi kutoka haraka kiasi hicho kama itaendelea season 02
NdioSo E 13 ndo finale ya S01????
Okay.
Lets wait JAZ.
Mie ni muumin wa series za Intelijensia
Huwa najiona mjinga,we sail in the same boat to the same journey
Tena kama ndio pendapenda unaletewa mdada mtamu balaaHuwa najiona mjinga,
Wanajaribu kutuonesha Trust no one,
Majasusi ni watu hatar sana,utadhan upo nao kumbe wanakutumia tu and then wamasonga.
Sio unakutana na mtu kwenye basi UNAFUNGUUUKA HADI YA UVUNGUNI
Aisee nilicheka jaz alivoigiza British accentTena kama ndio pendapenda unaletewa mdada mtamu balaa
jamani naomba kuuliza kwa wenye iphone tunaweza vipi kuacces torrents au kuna namna gan tunaweza kudownload series
into the badlands naelewa sana iyo series kuna dogo wakuitwa MK pia baba yao queen atari sana boi zote nazo izo pumbu kali ambazo zina trend dunia nzimaKuna Serie inaitwa Into the Badland inaa kichapooo hatarii...!!