Series (Special thread)

Series (Special thread)

Yaani tokea uzi umeanza yeye ndio wa kwanza naona anaulizia. Maybe aende akaulizie kule kwa wakorea pia wanaweza wakawa wanajua.
Hihihihi! Mkuu hizo sasa dharau.
 
Yaani tokea uzi umeanza yeye ndio wa kwanza naona anaulizia. Maybe aende akaulizie kule kwa wakorea pia wanaweza wakawa wanajua.
Hata mie nazipenda lakini sijawahi stream anywhere nikizitafuta hata siku moja. Kwenye TV tu na naziacha huko huko
 
Mie sijazicheki kitambo kweli, tv naangalia taarifa ya habari tu, sijui ndio uhenga!!!
 
Kwi kwi kwi kwi kwi. Now days kuna za ki philipino pia na za wa instabul sijui ndio wa wapi kina fatmagul ndio hizo nazicheck nikipata muda
 
Naomben link itakayoniwezesha kudownlod designated survivor 2
 
Example
tapatalk_1514583052021.jpeg
tapatalk_1514583045572.jpeg
tapatalk_1514583039923.jpeg
tapatalk_1514583033392.jpeg
tapatalk_1514583027597.jpeg
 
kaka nataka kuanza hii punisher ni nzuri au?
Kwa mawazo yangu naona The punisher haina mvuto kabisa. Yaan kuanzia main actor na trilogy ya story. Haikustaili kuwa independent tv series kabisa ingebaki kwenye Dare Devil tuu.
 
Ipi kali ya intelligency unayoijua mkuu ambayo ipo complete kabisa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom