Series (Special thread)

Series (Special thread)

Mmmh. Kweli??? Au we na siku yako mnataka kunipoteza kama good behavior??
Last week I was out anyway,simu angu iliharbika my dear.
Hahahaaaaa!!! Good behaviour iligoma inakuja tu ya yule mwizi mwizi.

Oooh!! Pole sana mama, karibu tena.
 
Mwambi huyu mkuu @E
EMPTY atakusaidia..
Hizi series huwa nazisikiaga tu ila sijawahi kuziangalia hata siku moja.

Sidhani kama zina mashabiki kivile kwenye mitandao hivyo nahisi haitokuwa rahisi kuzipata.
 
Hizi series huwa nazisikiaga tu ila sijawahi kuziangalia hata siku moja.

Sidhani kama zina mashabiki kivile kwenye mitandao hivyo nahisi haitokuwa rahisi kuzipata.
Movie za makatuni hizo ndo naama kapigwa mkausho matata na wadau
 
Naomba series moja kaliiiii ya habari za intelligency CIA,FBI na Homeland ndo iwe habari za mule,

Iwe na usaliti wa kufa mtu PUNISHER nimemaliza
 
Ndugu ukiona kimya ujue wa design Huyo hawaja log in bado. Wakiingia utajibiwa
Yaani tokea uzi umeanza yeye ndio wa kwanza naona anaulizia. Maybe aende akaulizie kule kwa wakorea pia wanaweza wakawa wanajua.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom