ANakusalimia patterson...amesema ana hack simu yako baadaeKati ya series nisizopenda ni blindspots na sababu kubwa ni kuwa wanajiona wanajua kila kitu wao hawashindwi kitu
Maboya sana wale jamaa kila mtu fundiANakusalimia patterson...amesema ana hack simu yako baadae
Pepeee peeeppeee nyingi sana. Wamekuwa mapupetsDesignated Survivors season hii naona imepoteza mvuto kabisa yani tofauti kabisa na mwanzoni ilivyoanza.
HahaaaaaaKati ya series nisizopenda ni blindspots na sababu kubwa ni kuwa wanajiona wanajua kila kitu wao hawashindwi kitu
24hrs ile ya kizamani au 24hrs legacy???Hivi hakuna mtu mwenye series ya 24hrs season 4 Tuipakue
Root hili jina linanikumbusha person of interestsMaboya sana wale jamaa kila mtu fundi
Aahhhh hawa jamaa walianza vzr naona walilewa Sifa...Designated Survivors season hii naona imepoteza mvuto kabisa yani tofauti kabisa na mwanzoni ilivyoanza.
24hrs ile ya kizamani au 24hrs legacy???
Aah ya kitoto sana hiyo..Shannara ishafika episode ya ngapi....?
Last time nilicheki zilikua nne, nasubiri iishe season 2 yote ndio nianze.
Kama unazifaham za kijasusi shea nasi mkuu...mi ndo ugonjwa wangu huu.Wadau Kama Kuna mtuu alipenda na kuipa points 5 zote series ya Breaking bad Kama mimi basi nawashauri mtafte series mpya inaitwa OZARK ipo complete season 1 tuu.
Hii series ni nzuri sana mathalani kama unapenda series za madawa ya kulevya na kuona watu ambao ni master minds Kama Mr. White na Gustavo fring kwa upande wangu ndio best new series kwa hii 2017, naona hata IMDB wameipa rating ya 8.6 out of 10 so ipo vizuri sana hata kwenye market.
Covert affairs itakufaa...ina swaga kama blindspotBonge moja la series, haijawahi kuniangusha since SO1, ngoja niidownload
Pakua Taken s01The Brave nimeiangalia ni kali sana. Kwenye hii list ipi ingine yenye action kama the Brave?
Hii hapa ndugu yangu inaitwa THE PUNISHER, imezalishwa na MARVEL nadhani unajuaga MARVEL mambo yao pia imetoka under NETFLIX so unapata episodes 13 zote ambazo ni complete season 1.Kama unazifaham za kijasusi shea nasi mkuu...mi ndo ugonjwa wangu huu.
24 legacy ni mpya...n iko vzr more than good..but imetoka mwaka huu ...Mm sizijui..
Nilikuta tu CD ya seaso 3 24hr mm nikapitia tuu..
Ilikua wakina Jack Baur,Tony almeida,Chase edmunds,Michelle,Chloe, Adam wanapambana na Isue ya Viruses sasa sijui hata season 4 inafata nn na hiyo Legacy inaanza namba ngapi..?
Nipe hata highlight