Maxmizer JF-Expert Member Joined Aug 14, 2016 Posts 4,799 Reaction score 4,230 Nov 7, 2017 #9,181 man of steel said: Stranger things ni habari nyengine mwaka huu mwanzoni walisomba sana tuzo wanastahili sana. Click to expand... hii naipitaga tu katika kuzishusha ila wikiend hii naishusha
man of steel said: Stranger things ni habari nyengine mwaka huu mwanzoni walisomba sana tuzo wanastahili sana. Click to expand... hii naipitaga tu katika kuzishusha ila wikiend hii naishusha
man of steel JF-Expert Member Joined Jul 16, 2013 Posts 1,099 Reaction score 2,356 Nov 7, 2017 #9,182 Maxmizer said: hii naipitaga tu katika kuzishusha ila wikiend hii naishusha Click to expand... Uletee mrejesho ukishaiangalia.
Maxmizer said: hii naipitaga tu katika kuzishusha ila wikiend hii naishusha Click to expand... Uletee mrejesho ukishaiangalia.
man of steel JF-Expert Member Joined Jul 16, 2013 Posts 1,099 Reaction score 2,356 Nov 7, 2017 #9,183 Maxmizer said: aisee kweli tumetofautiana radha yani last ship na designated huna hata ham ya kuziangalia Click to expand... Yeah mkuu labda huko mbeleni mdaa ukiruhusu nitzicheki tuu
Maxmizer said: aisee kweli tumetofautiana radha yani last ship na designated huna hata ham ya kuziangalia Click to expand... Yeah mkuu labda huko mbeleni mdaa ukiruhusu nitzicheki tuu
man of steel JF-Expert Member Joined Jul 16, 2013 Posts 1,099 Reaction score 2,356 Nov 7, 2017 #9,184 Ollachuga Oc said: Nomaaaaaaaaaaaaa ...nili wait muda sanaa mkuuu ..hiv WestWorld inatoka lin man? Daah hii kitu nakielewa sana Mkuu.. Click to expand... Westworld mpaka mwakani mzee, ndipo season 2 itatoka
Ollachuga Oc said: Nomaaaaaaaaaaaaa ...nili wait muda sanaa mkuuu ..hiv WestWorld inatoka lin man? Daah hii kitu nakielewa sana Mkuu.. Click to expand... Westworld mpaka mwakani mzee, ndipo season 2 itatoka
Maserati JF-Expert Member Joined Jun 15, 2014 Posts 11,602 Reaction score 20,098 Nov 7, 2017 #9,185 Maxmizer said: shaun majibu yake bwana Click to expand... Yaani nilicheka hatari,sio kwa majibu yale
Maserati JF-Expert Member Joined Jun 15, 2014 Posts 11,602 Reaction score 20,098 Nov 9, 2017 #9,186 espy huku bwana. We humuoni Letty jamani????
Bobbyray JF-Expert Member Joined Dec 3, 2015 Posts 1,378 Reaction score 1,781 Nov 10, 2017 #9,187 Designated Survivors season hii naona imepoteza mvuto kabisa yani tofauti kabisa na mwanzoni ilivyoanza.
Designated Survivors season hii naona imepoteza mvuto kabisa yani tofauti kabisa na mwanzoni ilivyoanza.
xav bero JF-Expert Member Joined Nov 24, 2016 Posts 5,133 Reaction score 7,352 Nov 10, 2017 #9,188 Kuna alieona Shannara Cronicles humu?
donlucchese JF-Expert Member Joined Mar 23, 2011 Posts 17,258 Reaction score 22,130 Nov 10, 2017 #9,189 Hii kitu mpya ya kuitwa S.W.A.T ndio kwanza episode 2 zimetoka, ngoja niijaribu nione
Bobbyray JF-Expert Member Joined Dec 3, 2015 Posts 1,378 Reaction score 1,781 Nov 10, 2017 #9,190 xav bero said: Kuna alieona Shannara Cronicles humu? Click to expand... Shannara nzuri kama unapenda adventure na fantasy itakufaa mi naendelea na S02
xav bero said: Kuna alieona Shannara Cronicles humu? Click to expand... Shannara nzuri kama unapenda adventure na fantasy itakufaa mi naendelea na S02
B Bst1 JF-Expert Member Joined Jul 19, 2015 Posts 324 Reaction score 164 Nov 10, 2017 #9,191 donlucchese said: Hii kitu mpya ya kuitwa S.W.A.T ndio kwanza episode 2 zimetoka, ngoja niijaribu nione Click to expand... Leo naangalia season ya S.W.A.T
donlucchese said: Hii kitu mpya ya kuitwa S.W.A.T ndio kwanza episode 2 zimetoka, ngoja niijaribu nione Click to expand... Leo naangalia season ya S.W.A.T
B Bst1 JF-Expert Member Joined Jul 19, 2015 Posts 324 Reaction score 164 Nov 10, 2017 #9,192 Bobbyray said: Designated Survivors season hii naona imepoteza mvuto kabisa yani tofauti kabisa na mwanzoni ilivyoanza. Click to expand... Kwangu bado ina mvuto changamoto ni hii ya kutoa episode baada ya episode
Bobbyray said: Designated Survivors season hii naona imepoteza mvuto kabisa yani tofauti kabisa na mwanzoni ilivyoanza. Click to expand... Kwangu bado ina mvuto changamoto ni hii ya kutoa episode baada ya episode
man of steel JF-Expert Member Joined Jul 16, 2013 Posts 1,099 Reaction score 2,356 Nov 11, 2017 #9,193 Bobbyray said: Shannara nzuri kama unapenda adventure na fantasy itakufaa mi naendelea na S02 Click to expand... Shannara ishafika episode ya ngapi....? Last time nilicheki zilikua nne, nasubiri iishe season 2 yote ndio nianze.
Bobbyray said: Shannara nzuri kama unapenda adventure na fantasy itakufaa mi naendelea na S02 Click to expand... Shannara ishafika episode ya ngapi....? Last time nilicheki zilikua nne, nasubiri iishe season 2 yote ndio nianze.
Atoto JF-Expert Member Joined Jul 19, 2013 Posts 89,348 Reaction score 176,144 Nov 11, 2017 #9,194 Maserati said: espy huku bwana. We humuoni Letty jamani???? Click to expand... Simuoni, unampata wapi?
Maserati said: espy huku bwana. We humuoni Letty jamani???? Click to expand... Simuoni, unampata wapi?
Maserati JF-Expert Member Joined Jun 15, 2014 Posts 11,602 Reaction score 20,098 Nov 11, 2017 #9,195 espy said: Simuoni, unampata wapi? Click to expand... Nampata terrarium Tv mbona.!
Atoto JF-Expert Member Joined Jul 19, 2013 Posts 89,348 Reaction score 176,144 Nov 11, 2017 #9,196 Maserati said: Nampata terrarium Tv mbona.! Click to expand... Huko simpati, sijui shida nini?
Mother Confessor JF-Expert Member Joined Jan 7, 2016 Posts 18,682 Reaction score 45,597 Nov 11, 2017 #9,197 Hii kitu "legend of the seeker" hainichoshi miaka yote,.
Maserati JF-Expert Member Joined Jun 15, 2014 Posts 11,602 Reaction score 20,098 Nov 11, 2017 #9,198 espy said: Huko simpati, sijui shida nini? Click to expand... Search Good Behavior bana. Kwanini wasishikwe. Nimecheka balaa mwenzio
espy said: Huko simpati, sijui shida nini? Click to expand... Search Good Behavior bana. Kwanini wasishikwe. Nimecheka balaa mwenzio
HIMARS JF-Expert Member Joined Jan 23, 2012 Posts 72,935 Reaction score 102,692 Nov 12, 2017 #9,199 Kati ya series nisizopenda ni blindspots na sababu kubwa ni kuwa wanajiona wanajua kila kitu wao hawashindwi kitu
Kati ya series nisizopenda ni blindspots na sababu kubwa ni kuwa wanajiona wanajua kila kitu wao hawashindwi kitu
donlucchese JF-Expert Member Joined Mar 23, 2011 Posts 17,258 Reaction score 22,130 Nov 12, 2017 #9,200 Lethal weapon imeanza kunishika