donlucchese
JF-Expert Member
- Mar 23, 2011
- 17,258
- 22,139
Hahah hata mm pale aliniacha hoi, alitaka ale fasta hata kamojaUmeona eeh.!! Aziama buana,kanichekesha alivyomwambi gorgio "that's your best line lover boy" halafu baadae kamchenjia gorgio hakuamini eti anamwambi Tom "you can't wait me for a second to finish this" alitaka kuchapa toto halafu anaona Tom kaja kuharibu..
Binafsi inanitesa sana. Kwani kila series ninayoiangalia nataka iwe na kuwango cha 24. Na bado sijapata inayoikaribiaIla 24 was the best series I ever watched na huwa nairudia mara Kwa mara
Hata designated survivor haipo kivile sana ila 24 ni balaaBinafsi inanitesa sana. Kwani kila series ninayoiangalia nataka iwe na kuwango cha 24. Na bado sijapata inayoikaribia
24 hatari mkuuBinafsi inanitesa sana. Kwani kila series ninayoiangalia nataka iwe na kuwango cha 24. Na bado sijapata inayoikaribia
Jack Baeur ni shidaHata designated survivor haipo kivile sana ila 24 ni balaa
Mmmh. [emoji124][emoji124][emoji124][emoji124]not everybody know scofield
Hiyo seal team vepe vepe niambie...Seal team na the brave naona zimeanza vizuri sana
Hans nakuchek hiyoHalotel
Ndio naichek hapa, nimeshusha na hii seal team cjui itakua na amsha amsha kama za The Unit?
Na mie naishusha hiyo seal team na the braveNdio naichek hapa, nimeshusha na hii seal team cjui itakua na amsha amsha kama za The Unit?
The brave ikoje hiyo? Nipe plot.kidogo na short synopsisNa mie naishusha hiyo seal team na the brave
24 hoursJamani naomba hiyo series ya 24 jina lake kamili na mwaka upi ilitoka maana nisearch terrarium [emoji342] zimekuja nying wadau
Pia ina season ngapi?
Hata mimi bdo sijaicheki ndio nataka niishushe. Nasikia imetoka jana kama sikoseiThe brave ikoje hiyo? Nipe plot.kidogo na short synopsis
Jina ndo hilo mkuu 24 zipo kama season 9 hivi.Jamani naomba hiyo series ya 24 jina lake kamili na mwaka upi ilitoka maana nisearch terrarium [emoji342] zimekuja nying wadau
Pia ina season ngapi?
Ngoja niisubiri kwenye o2 seriesHata mimi bdo sijaicheki ndio nataka niishushe. Nasikia imetoka jana kama sikosei