Kiukwel mm siogop yyte yule,naheshimu Uhuru wa MTU na mipaka yake,nmeshakutana na watu Tisa ambao ni wana jf inategemea tu mnakutana kwa minajili gan,tutakwepana hapa Ila kuna kipindi utahitahi kitu na mtakutana,mm nilikutana zaid na watu walioniunganishia mashamba mikoani,na pia wengine nimewapelekea simu za kuuza waliponiambia,nyumban kwao na ofisin kwao so kama Nina series na MTU anaihitaji na kama Nina muda kiukwel namwambia tu njoo uchukue,sina tatizo na MTU,watu wala dola ya nchi hii... Kwangu ni aman kwa kila kiumbe sababu nmejifunza kanuni kumi za akili na moja wapo ni kuheshimu kila MTU.
Dahh we noma hahaZa kwangu tano kali[emoji28][emoji28] ni.......
1. Tumbua majipu
2. Bombadier q400
3. Makinika dhahabu
4.makinika almasi &tanzanite
5. Bashite
Zote zinaendelea[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
Yahh iknow bro...bt nmeiweka kwakuwa ni mwendelezo na inaendelea kwa dzain yake....bt sio serie
Yes tayari...E5 Vp mama umechek?
NdiooYani last ship itaishia season5 mwakani?????????au
Ahhh mkuu mimi binafsi huwa napenda kuchallenge govt....
Quantico wamezingua sana season 2. Iko renewed for season 3 lakini sijui lini itaanza hata kwa TV time bado hawajaiekaMhhh Quantico ni Kali ila huwa naona maruwe ruwe tu...
Boya tu huyo..kama hajasoma yeye asifikiri kila mtu ni kama yeye.
Quantico ilikua season one pekee nyingine maruweruwe tu,shooter moja ya series hata nikiona kwenye PC ya MTU naifuta makusud navyoichukia,designated survivor na salvation ukiangalia hutachoka kiukwelQuantico wamezingua sana season 2. Iko renewed for season 3 lakini sijui lini itaanza hata kwa TV time bado hawajaieka
Season two walizingua kwakweli, alafu zile flash back zimezidi hadi kero.Quantico wamezingua sana season 2. Iko renewed for season 3 lakini sijui lini itaanza hata kwa TV time bado hawajaieka
Whats going on here!!Boya tu huyo..kama hajasoma yeye asifikiri kila mtu ni kama yeye.
Shooter walianza vzr....nw wanaznguaQuantico ilikua season one pekee nyingine maruweruwe tu,shooter moja ya series hata nikiona kwenye PC ya MTU naifuta makusud navyoichukia,designated survivor na salvation ukiangalia hutachoka kiukwel
Sent using Jamii Forums mobile app
Quantico ilikua season one pekee nyingine maruweruwe tu,shooter moja ya series hata nikiona kwenye PC ya MTU naifuta makusud navyoichukia,designated survivor na salvation ukiangalia hutachoka kiukwel
Sent using Jamii Forums mobile app
Ili punguza rates hatari,ikawa hatari ni kuwa cancelled. Wakasema watapunguza flashback. Season 1 ni hatari sana,season 2 wamezingua kinyamaSeason two walizingua kwakweli, alafu zile flash back zimezidi hadi kero.
Ngoja nikuvute upewe ushauriWhats going on here!!
Kuna mtu huko amezingua eti tukasome...halafu huu Uzi umeunganishwa na ule mwingine ulioanzishwa juzi uleWhats going on here!!
Ushauri wa nini?Ngoja nikuvute upewe ushauri
Ooooh!! Basi yawezekana waliambiana huko kwenye uzi mwingine ulounganishwa.Kuna mtu huko amezingua eti tukasome...halafu huu Uzi umeunganishwa na ule mwingine ulioanzishwa juzi ule
Yaani season two sikuielewa kabisaa, walipwaya sana wakapoteza direction kabisa.Ili punguza rates hatari,ikawa hatari ni kuwa cancelled. Wakasema watapunguza flashback. Season 1 ni hatari sana,season 2 wamezingua kinyama