jibril beder
JF-Expert Member
- Mar 22, 2014
- 236
- 235
Ni kari sana au imepoozaNimemaliza kuangalia "Narcos" Season 3. Baada ya kufa Pablo Escobar series haiwezi kuwa sawa na kabla ya kubwa la maadui lenyewe kufarikia.
Kama hujaiangalia itafute Season 1 and 2, inaonyesha maisha ya Colombia na biashara ya madawa ya kulevya enzi za Pablo Escobar.
Nawapenda wote tu.Uli fall kwa nani humo kwenye hiyo series?
Moja ya series mbovu katika ulimwengu huu hii nayo ipowale tunaoangalia shooter season 2 imeisha kienyeji kweli imebidi nijiulize ni kwa nini!? Kumbe Ryan Phillipe (Bob Lee) aliumia wakati wanashoot episode ya 9, sasa sijui watairudisha mwakani
Sent using Jamii Forums mobile app
Unaonekana unaexplore different genres mpaka This is US umeweka ... Very niceOngezea ...
The Mist
Preacher
The 100
The Flash
Gotham
Banshee
Tyrant
American Gods
The Strain
Colony
Shameless
The magician
This is us
WestWorld
The exocit
Ziko mingi sanaa...
Sent using Jamii Forums mobile app
Yes tayari tunasubiri ya 12
Saana
Yan vle ulivosema sio ya kikorea tu.
Tiyar ushakata muvi nzuuuuuuuuuri kama buku yan.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ebu tupia linkIris inahusu vijana wawili marafiki amabao walipata mafunzo katika jeshi la S.Korea, vijana hawa baadae recruited na National Security Service. hawa vijana wawili kila moja kwa wakati wake walitokea kumpenda dada moja bila wao kujua, mbaya zaidi walikuja kugundua kuwa huyo dada wanaempenda ni incherge wao huko nkazini.
Baadae hao marafiki wawili (Kim Hyun-jun & Jin Sa-woo) walipewa mission huko hungary, wakiwa huko Jin alipewa amri ya kumuua kim kwa kisingizio kuwa ni traitor.
Wakati hup huo hawa jamaa wawili walibaini kuwa boss wao ni Undeercover agent wa kundi moja la kijasusi ambalo lengo lake ilikuwa ni kuanzisha vurugu ili kusiwepo na uhusiano mzuri kati ta S.Korea na N.K
Hivyo basi kim wakati akiwa mafichoni anaajaribu ku expose mtu ambae amemsaliti na kuonesha nani yuko nyuma ya pazia la kundi la IRIS...
Kwa ujumla kuna action za kutosha humu, pia story inavuti, yaani ukiangalia episode moja unatamani kuangalia nyingine.
Wadau wataongezea maana kusimulia ni kugumu
Vipi kuna actions za kutosha kiongozHakuna series kama Westworld, ni story tofauti kuliko tulizo zoea lakini pia ni tamu sio kifani. Kama hujaiona tafadhali itafute.
Sent using Jamii Forums mobile app
Action zimo mkuu ila ni series ya western (cow boys) ,sharp shooters nk.