ni kama lost mkuu, nayo ikishafika season 3 utumie akili la sivyo utakomea njianigame of thrones kuangalia lazima uwe na akili sana wenye akili za kawaida wakiangalia uwa hawaelewi wanaona michosho
kama traveler, niliipenda sana hii serie lakini ilitoka season 1 tu basiWe upo ulimwengu gani?? Iko juu ya mawe hiyo kitambo sana
Ndio,yuko episode 04
weka na killing point, ina season 1 tu, mwanzo mwisho lakini huchoki kuitizama unaweza usilale aiseeBest TV series according to me.
1. Game of thrones
2. Breaking bad
3. NARCOS
4. Stranger things
5. Vikings
6. Prison break
7. Walking dead
8. House of cards
9. Ray Donovan
10. Queen of South
In that order,
Kama haujaangalia series hizi basi haujawahi kuangalia series nzuri.
Pia Kuna hizi series nazo tamu pia ila sio Kama hizo 10 juu.
1. Rome
2. Spartacus
3. Supernatural
4. Vampire diaries
5. The originals
6. Mr. Robot
7. Da Vinci and demons
8. Marco Polo
9. Salem
10. Penny dreadful
11. Teen wolf
12. Blindspot
13. Kyle XY
14. Arrow
15. Flash.
Hizi zote ni series ambazo nimeziangalia na kuzifatilia vizuri.
tizama na sleep hollow
hii banshee bado ipo, niliipenda sana, ongezea na Bates motelOngezea ...
The Mist
Preacher
The 100
The Flash
Gotham
Banshee
Tyrant
American Gods
The Strain
Colony
Shameless
The magician
This is us
WestWorld
The exocit
Ziko mingi sanaa...
Sent using Jamii Forums mobile app
usikose na under the dom umuone big Jimangalia BANSHEE ya kimarekani
Narcos, house of cards and vikings hizi vitu ni hatari kwa afya ya akilinna mwili pia. Coz hautapumzika kuziangalia hivyo matatizo ya afya kimwili ni lazima upate. Hautatoka kutafuta pesa wala hautakwenda kazini hivyo kukosa pesa na kufukuzwa kazi ni lazima upate tatizo la kiakili.Best TV series according to me.
1. Game of thrones
2. Breaking bad
3. NARCOS
4. Stranger things
5. Vikings
6. Prison break
7. Walking dead
8. House of cards
9. Ray Donovan
10. Queen of South
In that order,
Kama haujaangalia series hizi basi haujawahi kuangalia series nzuri.
Pia Kuna hizi series nazo tamu pia ila sio Kama hizo 10 juu.
1. Rome
2. Spartacus
3. Supernatural
4. Vampire diaries
5. The originals
6. Mr. Robot
7. Da Vinci and demons
8. Marco Polo
9. Salem
10. Penny dreadful
11. Teen wolf
12. Blindspot
13. Kyle XY
14. Arrow
15. Flash.
Hizi zote ni series ambazo nimeziangalia na kuzifatilia vizuri.
PERSON OF INTEREST
walishatangaza zamani kuwa season 5 ndio itakuwa ya mwishoYaani hata Mimi natamani nijue inakuaje...aisee last ship naomba I last longer hii series
Yes,inatoka mwakani.
Viking mpango mzima. mpaka amalize season zote 6 atakuwa amefaidiNarcos, house of cards and vikings hizi vitu ni hatari kwa afya ya akilinna mwili pia. Coz hautapumzika kuziangalia hivyo matatizo ya afya kimwili ni lazima upate. Hautatoka kutafuta pesa wala hautakwenda kazini hivyo kukosa pesa na kufukuzwa kazi ni lazima upate tatizo la kiakili.
My take ni series nzuri sana yakupasa upange ratiba zako vizuri kabla ya kuanza kuangalia nina uhakika hautaacha mpaka ihakikishe ziishe