Series (Special thread)

oiii naomben séries zenye action na harror majina plz
the last ship

Into the bad land

Vampire diaries

The walking died

revolution

........naomben nje ya hizo
 
Jamani sikutegemea kama Slattery angepatikana,nikajua anauliwa au anakufa jomoni I'm happy
Last ship mie weee. Sasa Georgio Kazi anayo na omar wake

The last ship tamu jomoni
Mamii yaani kati ya series ambazo unacheki huku unatamani isiishe basi ndio hii, nashukuru mechelewa kuitazama nimekuta viepisode vinne. Story line yake ni tamu sana na waigizaji wako serious.

Cant wait kuona huyo baba mwenye research lab watatumia mbinu gani kuzipata hizo mbegu.
 
Yaani hata Mimi natamani nijue inakuaje...aisee last ship naomba I last longer hii series
 


Hizo zipo nyingi sana labdanikupe za mwaka 2017

1. S.W.A.T under siege
2. Kidnap
3. Baby Driver
4. Instant Death
5. The Vault
6. Security - It's going to be a long night

mkuu zipo nyingi sana il ziangalie hizo hapo juu kwa kuanzia
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…