Series (Special thread)

Kuna mtu aliisifia weeeeeeh, yaani hadi akaniletea, nikaiweka kuiangalia najionea maruwe ruwe tu, hata episode moja sikumaliza nikaachana nayo.
Pole sana but tatizo ni ulikua umepewa sifa zote ambazo huwez pata kwa episode 1 take your time and watch when huna haraka then uje utoe mrejesho

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Habari za jioni wadau. huwa natuma extra torrent ku pakua vitu ila sasa inazingua, naombeni njia mbadala
 
xav hero nishaiona hiyo kitambo kweli,nimeichek Hapa iumbe Ndio hiyo. Lakini niliipotezea kumbe imeendelea!!
 
Ndio something is missing kwenye hiyo series kadri unavyoendelea inapoteza mvuto Nilijikaza tu kuimaliza
 
baadhi ya ancient tv series nilizoangalia
1.taboo 2.marco-polo 3.Vikings 4.game of throne 5. davinci demons 6.The borgias 6.the tudors 7.reign
 
xav bero mbona huyu pia anaisifia??
Haya potea mb zako za bure,utakuja kuniambia hapa,ina story nzur ila wahusika naona kama hawakujipanga kuicheza,ina kitu ambacho unajua kabsa kwamba hii ni mchezo,hata sondtruck zake mbovuuuuu,aah imenikinai,kuna series ambayo ukiangalia hata nyimbo zinazopigwa unasema kwel hapa mahala pke kabsa lakin shooter aaaaahhhhhgggg msinikumbuahe,,wala six msinikumbuahe
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…