Series (Special thread)

Breaking bad inahusu nn? Ujasusi au
Sijaichek lakini nasikia ni nzuri, wanasema kuanzia season 2 ndio inachangamka.

Jamaa alikuwa anaugua kansa, na alibakisha miezi michache afe. Akaamua ajiingize kwenye madawa ya kulevya ili akifa familia isibaki masikini, miezi ikakatika akagundua amepona na madawa ya kulevya yashamnogea....
 
Jaman eeeh last ship bado hawajaleta mzgo mpya???

Sent from my DP7CPRO using JamiiForums mobile app
 
Yaani nivumilie season one hadi iishe ndio ninogewe!!! Hapana kwakweli.
 
Zipo kibao wangu.
Tvseriesweb
Tvshows4mobile
02Tv series.

Kuna app zipo google
Show box
Terrarium Tv.
Wewe tu
Show box na terrarium zote kwangu zimebuma, show box haionyeshi server tofati na torrents, na hiyo server ni majanga, inakula bundle hatari, 2 gb unaangalia episodes mbili tu.
Terrarium ndio haidisplay chochote!!
 
Sema wabongo test zetu za series wengi znafananana na nyingi 2nazozkubal zna ratings ndgo sana uko mambele....nilijarib kucheki the westworld kisa ina ratings nyingi tomatoes nliishia kuifowadi fowadi tu mpaka episode ya 6 uko moto ulipowaka
 
Mi inafungua vizuri. Unataka kunambia zile sever A na B hazifunguki??

Hata hivo nishahama huko kote, nazitumia kuchek updates tu niko Tvserieswap huku mx player ikinisafisha kiroho kwa subtitles.

Basi mororo
 
Sema wabongo test zetu za series wengi znafananana na nyingi 2nazozkubal zna ratings ndgo sana uko mambele....nilijarib kucheki the westworld kisa ina ratings nyingi tomatoes nliishia kuifowadi fowadi tu mpaka episode ya 6 uko moto ulipowaka
Na kweli huko mbele ndio, wanatuchefua na maduala yao ya rates.

Ziliniuma series 2 tu.
The Messengers.
The Tomorrow people.
Niliumia jamaniiiii walivyo zi cancel.
 
espy, hivi ushaichek Good Behaviour???
aisee ni series tamu naomba waitoe season 2 tu jamaniii jaribisha tu uone.
 
Ukisema mastermind wa prison break Tbag namweka mwisho, wapo watu waliokua focused sio tbag.... Tbag mdandiaji na sio mtu wa principles, hana plans mambo yake ni coincidental tu
True..T- bag me mwenyewe nimumuelewa sana kwenye prison ila kasubiri sana kwa Michael, Mahoney na ata Paul.

Sent from my HUAWEI LUA-U22 using JamiiForums mobile app
 
True..T- bag me mwenyewe nimumuelewa sana kwenye prison ila kasubiri sana kwa Michael, Mahoney na ata Paul.

Sent from my HUAWEI LUA-U22 using JamiiForums mobile app
Michael failed to get rid of t-bag, kila alichofanya mwisho wa siku t-bag aliibuka from no where!

Umesahau aliposepa na hela akawaachia begi la vitabu?

Michael is a genius, so is t-bag!

- KANA -
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…