Series (Special thread)

Kuna mtu kanambia kuhusu last ship. Inahusu nn mkuu?
Kulitokea na virus break out dunian watu weng wakafa ikabak mel moja ambayo ilikua ipo Antarctica wanafanya research ya kuhusu hao virus na kupata tiba ile wanarud USA wanakuta dunia nzima ishakufa kwa virus wale wenye strong immunity ndio wakabak. Dunia ikawa haitawaliki serikal zimecollapse.... Sasa hapo ndio shughul ikaanza na wengine wakawa wanamtaka huyo Doctor alienda kufanya research labda kapata tiba.... Ni nzuri sanaa aisee unaweza jikuta unakesha usiku
 
mwenye link ya kudownload series tafadhar sana mnitumie maana nimekuwa nilitumia bitdownload kwa sasa imegoma
Mkuu kama una android gusa hii link dawnload app inaitwa terrarium TV.
Terrarium TV - Free 1080p HD Movies and TV Shows Android App

Kisha ili I dawnload faster
Dawnload app hii
Download Accelerator Plus – Applications Android sur Google Play

Jinsi ya kufanya
1. Fungua terrarium tv kisha tafuta series yako kisha chagua episode.
2. Gusa ile alama ya play kwa chini kulia itakuja menu chagua open with...
3. Zitakuja app mbali mbali chagua hiyo app ya link ya pili ina alama ya kijani mpauko na neno DAP
4. Itakuja sehem ambayo ni optional.
Waweza jaza au usijaze vile vipengele,
5. Press start kisha subiri dk au sekunde kadhaa kulingana na kasi ya mtandao wako.
 
Hans,Ina crush mpaka sina hamu nayo sijui kwanini etiii.imenibidi nirudi kwa showbox etiii wakati natamani Ttv
 
I will try it
 
Series karibia zote nazoangalia zimeisha


Chicago pd
Chicago fire
Blacklist
Into the badlands
Training day
Blindspot
The 100
DS
PB



Yani leo nmerudi home naona usiku mrefu sana
 
Hans,Ina crush mpaka sina hamu nayo sijui kwanini etiii.imenibidi nirudi kwa showbox etiii wakati natamani Ttv
Mkuu hata show box maelekezo ni hayo ukifika pale kwenye ku dawnload chagua option ya open with... Kisha tumia DAP labda kama kwenye hizo App hakuna series unazo taka.
 
Series karibia zote nazoangalia zimeisha


Chicago pd
Chicago fire
Blacklist
Into the badlands
Training day
Blindspot
The 100
DS
PB



Yani leo nmerudi home naona usiku mrefu sana
Bado wiki tatu (max) kuanza msimu mwingine wa series unless kama hazipo kwenye list yako kv Suit, The Last Ship, Power, Game of Thrones!!!
 
Naona wamegoma kuendeleza the last ship.
Yah, lakini haijakuwa cancelled. Eric Dane a.k.a Captain Chandler alikuwa na personal issues kwahiyo ikasababisha production isimame kwa muda!!
 
Ukiachana Game of thrones,Suit na Designated survivor...na fikir 13 reasons why..ndo series yangu bora kwa sasa japo ni teen drama lakin ina story tamu
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…