Fauzi Facha
Member
- Aug 18, 2016
- 16
- 8
Naomba nmb yako tuwasiliane, nahitaji series za nchi kama India , Philippines , Korea, China etc.Quantico
The Originals
The 100
Marvel Iron fist
The Blacklist
The blacklist redemption
The flash
Tomorrow people
Legends of tomorrow
Gotham
Macgyver
Lethal weapon
Scorpion
Game of thrones
Shooter
Under the domes
Falling skies
Na zakikorea pia
Kma upo dsm,,tafuta external hdd iwe na free space kma ya 100 gb,,,ntakuwekea vitu vya ukweli,,hutojuta...
Kwa Tsh.50,000/= Tu.
Ni dm kma ukihitaji
Mie Prison Break nimeiweka Prison kwanza mpk ziwe nyingi nyingiAnyway, umejibu kama nilivyohitaji! In short, nilikuwa nasubiria hadi season 2 zikamilike ndipo nianze kuziangalia! Suala la kuangalia episode moja halafu nabaki na hamu wiki mzima huwa naona mateso sana!! Hapa najilaumu nilikiuka utaratibu wangu kwenye Prison Break!
Na usithubutu kuiangalia hata episode moja manake ukifanya hivyo tu, na vile ilivyoanza kwa bang! There's no way unaweza kuvumilia usiangalie na episodes zinazofuata!Mie Prison Break nimeiweka Prison kwanza mpk ziwe nyingi nyingi
Tupe dondoo, ikoje hiyoMmeshaangalia American Gods? manake ni balaa!?
Iko episode 3, but inahusu mambo ya kishetaniTupe dondoo, ikoje hiyo
Nitaitafuta, mpk hapo nishajua ni nzuri.Iko episode 3, but inahusu mambo ya kishetani
aisee iko poa sana ,ukiangalia episode 1 lazima utatafuta za mbele iko episode 4Nitaitafuta, mpk hapo nishajua ni nzuri.
ScorpionJaman nataka tamthia kama ya prison break...yaan watu wanafanya mission iwe ya kiarifu ama kisiasa..sipendi mingumi ngumi..Love story kama za wale wa hindi sana tu...yan nataka season inayo sisimua inakupa feelings
M niliichek nikaanza kuipenda na kuisifia Huku juu. Lakini mmmh. Hapana,imenichefua nafsi. MbayaaMmeshaangalia American Gods? manake ni balaa!?
Scorpion ni team geniuses wako wa4 lakini wanakutana na watu wa kawaida ambayo mdada mmoja Paige mwanae ni genius so wanamsaidia peige amwelewe mwanae,then Paige anawasaidia wao wawaelewe watu wa kawaida na watu wawaelewe Hapo genius.pia yupo wa kawaida mwingine Cabe ambae ni FBI agent,anawasaidia kwenye mission hatari kwa usalama wao. Hapo geniuses kuna machenics,behaviourist,human calculator na mkuu wao alieact as Walter mwenyewe Ndio ana IQ kuwazidi wengine. based on life of Walter O'Brien ambae ilikuwa na IQ Kubwa sana ya kutatua mambo mbalimbali na kusaidia jamii nzima. Ni nzuri sana espy mie inanitia uchizi kwa kweli.Mamii hiyo scorpion inahusu nini?
Season 3 imeisha. Tuna subiri season 4. Yaani series nyingi ziko break for season inayokuja. Blindspot and Quantico tuna subiri season 3Human calculator,,wanajua wale jamaa balaaa,wanajua kufix tatizo chini ya muda usiotarajiwa,niliipenda japo nadhan kama wapo break
Niliicheki kidogo tu mwanzoni haikunivutia, ngoja nitaicheki tena.Scorpion ni team geniuses wako wa4 lakini wanakutana na watu wa kawaida ambayo mdada mmoja Paige mwanae ni genius so wanamsaidia peige amwelewe mwanae,then Paige anawasaidia wao wawaelewe watu wa kawaida na watu wawaelewe Hapo genius.pia yupo wa kawaida mwingine Cabe ambae ni FBI agent,anawasaidia kwenye mission hatari kwa usalama wao. Hapo geniuses kuna machenics,behaviourist,human calculator na mkuu wao alieact as Walter mwenyewe Ndio ana IQ kuwazidi wengine. based on life of Walter O'Brien ambae ilikuwa na IQ Kubwa sana ya kutatua mambo mbalimbali na kusaidia jamii nzima. Ni nzuri sana espy mie inanitia uchizi kwa kweli.
Season one na two mwanzoni. Nzuri thoQuantico imenishinda..flashback mwanzo mwisho
Season 1 yes bt nlipoona flashback mpk season 2 nkaacha sijui episode 6Season one na two mwanzoni. Nzuri tho
Ha ha ha ha. Iko vizuri mkuuSeason 1 yes bt nlipoona flashback mpk season 2 nkaacha sijui episode 6
Kwa tunao iangalia tupo kwenye kihoro acha tuuuu.Na usithubutu kuiangalia hata episode moja manake ukifanya hivyo tu, na vile ilivyoanza kwa bang! There's no way unaweza kuvumilia usiangalie na episodes zinazofuata!