Mgagaa na Upwa
JF-Expert Member
- Sep 30, 2013
- 15,281
- 33,590
CanceledNaisubiri Quèen of South kwa hamu zote bila kusahau Teen wolf.
Attention Queen of the South fans! The date has been set and Teresa, Camila, Epifanio, and the rest of the crew will be returning to USA Network Thursday, June 8 at 10/9c.Canceled
Attention Queen of the South fans! The date has been set and Teresa, Camila, Epifanio, and the rest of the crew will be returning to USA Network Thursday, June 8 at 10/9c.Nilikuwa naidharau lakini niliipenda sana. Season 1 tu nimeitazama. Natafuta nyingine sijaipata
Sijakuelewa. Wakati blindspot episode ya mwisho imetoka week hii inayoishia??Hivi hizo mbili bado episodes zake baada ya break hazijakamilika? Nilikuwa nasubiri zikimalike ndipo nianze kuzicheki!!
Anyway, umejibu kama nilivyohitaji! In short, nilikuwa nasubiria hadi season 2 zikamilike ndipo nianze kuziangalia! Suala la kuangalia episode moja halafu nabaki na hamu wiki mzima huwa naona mateso sana!! Hapa najilaumu nilikiuka utaratibu wangu kwenye Prison Break!Sijakuelewa. Wakati blindspot episode ya mwisho imetoka week hii inayoishia??
Zimeendelea mkuu. Na zote zimekuwa renewed for season 3 zote mbili
Anhaaa. Poa poa mkuu. Ndio hivo kama nlvyokuambia,japokuwa Quantico walikuwa katika hati hati ya kuwa cancelled kwa sababu ya rate viewers kushuka sana. But it is bless kuendelea season 3Anyway, umejibu kama nilivyohitaji! In short, nilikuwa nasubiria hadi season 2 zikamilike ndipo nianze kuziangalia! Suala la kuangalia episode moja halafu nabaki na hamu wiki mzima huwa naona mateso sana!! Hapa najilaumu nilikiuka utaratibu wangu kwenye Prison Break!
Quantico Season 2 nimeangalia tu zile episodes 10 za awali, ambazo kwa kiasi fulani, kulikuwa na mabadiliko kidogo kulinganisha na season 1. Nilikuwa nakerwa zaidi na season 1 baada ya kuona karibu nusu ya show ilikuwa inaundwa na flashbacks & flashforwards na sehemu iliyobaki ndiyo inaundwa na present day.Anhaaa. Poa poa mkuu. Ndio hivo kama nlvyokuambia,japokuwa Quantico walikuwa katika hati hati ya kuwa cancelled kwa sababu ya rate viewers kushuka sana. But it is bless kuendelea season 3
Huyo Jamaa namkubali Sana, hasa alivyoitengeneza Ile breaking badMi nilishawishika kuiangalia kwa sababu kwenye series/movie mara nyingi huwa naangalia sana ni nani creators wa content husika na huwa siangalii ni nani waigizaji! Sa' kwa mtu kama Vince Gilligan tayari nilishazikubali kazi zake za Breaking Bad na X-Files; kwahiyo nilijua hata kwenye Better Call Saul asingeniangusha!!
Breaking Bad ni moja ya kufuru zilizopata kutokea kwenye ulimwengu wa series! Nishaingilia kama mara 3 hivi na bado haijanikifu!!! Na mwaka jana mwishoni iliripotiwa angekuja na limited series itakayoitwa Raven...Huyo Jamaa namkubali Sana, hasa alivyoitengeneza Ile breaking bad
Angalia better call saul. Ilipofikia ni level ya breaking bad. Jamaa anazidi kufunikaBreaking Bad ni moja ya kufuru zilizopata kutokea kwenye ulimwengu wa series! Nishaingilia kama mara 3 hivi na bado haijanikifu!!! Na mwaka jana mwishoni iliripotiwa angekuja na limited series itakayoitwa Raven...
Better Call Saul naifuatilia kitambo... shows za Vince Gilligan huwa siziachi zikipita hivi hivi!!Angalia better call saul. Ilipofikia ni level ya breaking bad. Jamaa anazidi kufunika
Mamii hiyo scorpion inahusu nini?Hapana. Napata mautamu mengine kutoka kwa series mbalimbali blindspot,Quantico,scorpion, the Arrangement na zingine
sense8 ni hatariKuna mtu ameshaitazama sense 8 humu?