Series (Special thread)

Kuna moja nimeanza kuiangalia recently inaitwa "Designated Survivor". Hii naona inaenda kuzipiku hizo hapo juu.
Nimeanza kuangalia designated Survivor Jumamosi, sasa nipo episode 16. One of the best. Story yake imetulia sana
 
me nadhani michael ni genius zaid ya mahone kwa fact moja tu ..,walipokua sona mahone alitulia na akamtegemea mike kumtorosha
 
me nadhani michael ni genius zaid ya mahone kwa fact moja tu ..,walipokua sona mahone alitulia na akamtegemea mike kumtorosha
Ukiizungumzia Prison break unamzungumzia Tbag. Huyu ndio alikuwa mastermind wa kila kitu, vitu vingi alivyofanikiwa Michael kulikuwa na uwepo wake.
 
Hivi banshee itaendelea kweli ama ndo imeisha mana ile series ni jembe mana kwa sasa series nayo ifata sana no Gotham ilianza kindenzi hila nimejikuta nipo nayo addictive
 
Hapana. Napata mautamu mengine kutoka kwa series mbalimbali blindspot,Quantico,scorpion, the Arrangement na zingine
Hivi hizo mbili bado episodes zake baada ya break hazijakamilika? Nilikuwa nasubiri zikimalike ndipo nianze kuzicheki!!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…