asaprichie
JF-Expert Member
- Nov 29, 2014
- 297
- 238
unachanganya madesa.... REDDINGTON ni deserter / rogue psy agent.... ni jasusi aliyeasi na kwa kuasi kwake amepiga double agent na mashirika mbali mbali ya kijasusi na ya covrt black opps ( vikosi vya siri ) na magaidi wengi na anatumika kama source of intell sasa sijui unaanzaje kumlinganisha na drugdealer .... hivi mnaangaliaga tuuuuu au mnaangalia na kuzielewa!!!!
kwa maelezo yako tu hauwajui vizuri watu wanaodeal na madawa ya kulevya hasa wauzaji wakubwa .... yale ndio maamuzi yao undugu kando kazi mbele.... na wengi wao wamepotea kwa kupitia mademu just like unavyohadithia ...fuatilia REAL LIFE STORIES ZA DRUGDEALERS ... jamaa kafit mbayaaaaa
Revenge ni balaaa. Amanda clarike sio Dada wa nchi hii yuletafuta THE REVENGE, THE VICTORY, FLASH,JUMONG, ARROW ON THE BOW STRING, THE DREAM,MERLIN
Jane anazabuana vibaya kushinda Hata wanaume kina lead na Weller. Huyo mdada ni hatari sanaBlind spot ni shida ndo naicheki saivi
Msaada. Terrarium kwangu inazingua kichizi. Mpaka inanikata stimu Yaani. Inaload halafu inafika sehemu inakata,naweza kupick vizur mbs na download with subtitle inaload kabla haijaanza inazingua. Nikajaribu bila subtitle the same magumashi. Nakereka mno Yaani,kama kuna msaada itengamane kama mwanzoMkuu hebu jaribu ku google waweza pata dawnload link, maana nimechek kwenye app ya terrarium, ipo lakini haina data.
True babake m designated IPO njemaDesignated survivor ndo the best ina story nzuri sana
Ni moja kati ya series bora kabisa kwa sasa; sema duh; imefika mbali kishenzi manake hivi sasa tunaangalia season 13. Halafu si unajua hizi series za zamani; nyingi ni full season... yaani episodes 20+ per season! So, ukitaka kuanzia mwanzo, hesabu kuna episodes zaidi ya 250 zinakusubiri!!!Wakuu nataka kuianza hii series ya Grey Anatomy...
Kwa alieona vp nitaenjoy au niachane nayo.
Ni moja kati ya series bora kabisa kwa sasa; sema duh; imefika mbali kishenzi manake hivi sasa tunaangalia season 13. Halafu si unajua hizi series za zamani; nyingi ni full season... yaani episodes 20+ per season! So, ukitaka kuanzia mwanzo, hesabu kuna episodes zaidi ya 250 zinakusubiri!!!
Msaada. Terrarium kwangu inazingua kichizi. Mpaka inanikata stimu Yaani. Inaload halafu inafika sehemu inakata,naweza kupick vizur mbs na download with subtitle inaload kabla haijaanza inazingua. Nikajaribu bila subtitle the same magumashi. Nakereka mno Yaani,kama kuna msaada itengamane kama mwanzo
Nashindwa kuiona ndoa ya happy Quinn na Tobias jamani scorpion yangu
Ijaribu... binafsi naipenda sana na ndio maana sioni taabu kukomaa ni mi-episode yote hiyo!!Shukrani mkuu...wacha nijitahidi nikomae nayo
Kama ina utamu sitojali.
Kwa kutumia bobby app una download vipi.. Nimeiona iko poa sanaJaribu app nyingine inaitwa ..Bobby movie hutojuta ipo poa sana.
Huyu demu ni shida ila bado sijaimalizaJane anazabuana vibaya kushinda Hata wanaume kina lead na Weller. Huyo mdada ni hatari sana