Mmmnh mwenzetu wewe umeangalia season ya ngapi hiyo ambayo michael kafanikiwa kutoroka?Wamefanikiwa kutoroka subiri next week utaona...
Sipati picha kichapo atakacho chezea kwa alichotaka kukifanya.hawajafanikiwa kutoroka wamekamatwa nje asee.sema michael ataona sio mbaya maan pia kuna jamaa yke alishindwa kutoka alibaki na alikuwa mtu muhim cna
Season 5 episod 4 inayotoka jumanne usiku mnene jamaa wamesepa usipoamin utakuja hapa kuthibitisha,,Mmmnh mwenzetu wewe umeangalia season ya ngapi hiyo ambayo michael kafanikiwa kutoroka?
Ila ndio ajifunze mchongo ukiwa na wapambe wengi yale ndio madhara yake, hapo afanye trick aliyofanya kwenye gereza la sona kuwa ingiza chaka wenzie kisha yeye na asepe kwa njia nyingine. Na inaonesha dhahiri ile ni mara ya pili michael anajaribu kutoroka kwenye gereza la yemen.
sema hawez kuwaacha wale madogo hasa aliyeshindwa mara ya kwanzaSipati picha kichapo atakacho chezea kwa alichotaka kukifanya.
Katika vinu vyenye akili.. Na blacklist ipo.. Yule jamaa ni fundi.. Mbabe na he has a smart memory...
Hahahaaaaa miaaaaaSeason 5 episod 4 inayotoka jumanne usiku mnene jamaa wamesepa usipoamin utakuja hapa kuthibitisha,,
Huu mzigo the blacklist nilishusha wote ikawa bado kuu cheki tu, duuh nikaifuta bahati mbaya kwenye pc na kwenye recycle bin, nimesha tafuta software za ku recover nyingi ni za kulipia.achaa mkuu yule jamaa ana akili hlf sio muoga...wameipatiq sana ile ngoma
Hyu hatokuwepo mkuu cos aliignore kuplay same character but kama altabadilishiwa characters he might be in.Wale wa prison break..baada ya kumuona killaman,,tutegemee kumuina huyu mnyama ambae nae ni genius kama Michael??
View attachment 495179
If loving you was wrong ni hatarRome
The sopranos
Falling skies
Under the dome
Vikings
Billions
Gotham
Beowolf
Da Vinci demons.
If loving you was wrong
Eddy ananikera jamani!!If loving you was wrong ni hatar
Mmmmh!!Season 5 episod 4 inayotoka jumanne usiku mnene jamaa wamesepa usipoamin utakuja hapa kuthibitisha,,
Yaan anaboaa..Eddy ananikera jamani!!
Alafu majitu ya hivyo hayafagi mapema!!Yaan anaboaa..
Mmmnh mwenzetu wewe umeangalia season ya ngapi hiyo ambayo michael kafanikiwa kutoroka?
Ila ndio ajifunze mchongo ukiwa na wapambe wengi yale ndio madhara yake, hapo afanye trick aliyofanya kwenye gereza la sona kuwa ingiza chaka wenzie kisha yeye na asepe kwa njia nyingine. Na inaonesha dhahiri ile ni mara ya pili michael anajaribu kutoroka kwenye gereza la yemen.